Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal.
Kocha wa machester United, Louis van
 Gaal amesema Manchester united ina mlinzi wa kati mmoja tu mwenye 
uzoefu wakati huu kikosi hicho kinapotarajia kukipiga na west ham katika
 michuano ya ligi kuu ya England.
Marcos Rojo yuko fiti, lakini 
timu hiyo ina majeruhi kama Chris Smalling ana jeraha la mguu, Phil 
Jones ana jeraha kwenye, Jonny Evans ana jeraha la kifundo cha mguu na 
Tyler Blackett hatacheza mchezo huo.Van Gaal analazimika sasa kuchukua wachezaji kwenye kikosi cha vijana ili kuziba mapengo yaliyopo kwenye timu yake.miongoni mwao ni vijana Tom Thorpe na Paddy MacNair ambao wataungana na kikosi cha kwanza cha Manchester United kwa mara ya kwanza.






 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni