Jumanne, 3 Machi 2015

Waziri MEMBE amesema huu ni mchango wa Marehemu Kapteni KOMBA kwenye mgogoro wa Ziwa Nyasa

  Leo ni siku ambayo mwili wa Marehemu Kapteni John Damian Komba umepumzishwa katika makaburi ya Kijijini kwao Lituhi, Mbinga mkoa wa Ruvuma. Leo kwenye kipindi cha Power Breakfast Clouds FM, alisikika Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumzia mchango wa Marehemu Komba kwenye suala la mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa...

Jumapili, 1 Machi 2015

Nimekuwekea matokeo ya EPL hapa, yakiwemo ya Man UTD vs Sunderland

Baada ya kuwa na mfululizo wa matokeo yasiyo ya kuridhisha katika ligi kuu ya England tangu kuanza kwa mwaka 2015, klabu ya Manchester United leo iliwakaribisha kwenye uwanja wao wa nyumbani Sunderland. Mchezo huo wa raundi ya pili ya EPL, umemalizika muda mfupi na kikosi cha Louis van Gaal kimepata ushindi wa magoli 2-0. Wayne Rooney alifunga magoli yote mawili na...

Alichofanya Kapteni Komba kwa familia yake siku mbili kabla ya kifo chake

  Kifo cha Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa CCM kapteni John Komba ambaye amefariki dunia akiwa hospital ya TMJ February 28 kilitanguliwa na kitu ambacho kinadhaniwa kama kilikua ni ishara ya siku yake ya mwisho. Claudia John Komba ambaye ni mtoto wa 9 kati ya watoto 11 wa marehemu John Komba ameongea na youngluvega.blogspot.com ...

Maneno ya Thiery Henry kuhusu ndoto za kumrithi Arsene Wenger

  Mchezaji mkongwe wa Arsenal, Thiery Henry amefichua kuwa ndoto yake kuu ni kumrithi kocha wa timu hiyo Arsene Wenger katika klabu hiyo. Mchezaji huyo wa zamani ambaye ndiye anayeongoza kwa idadi ya mabao katika klabu hiyo akiwa na magoli 228, aliripotiwa kupewa nafasi ya kuanza kufundisha soka katika chuo cha ukufunzi wa soka katika klabu  hiyo mapema mwezi...

Hizi ni picha za Miss CBE 2015 jinsi ilivyofana Dar es Salaam…

Chuo cha usimamizi wa Fedha CBE usiku wa Feb 28, 2015 walikua wakimtafuta Miss CBE ambaye kwao ni kama kumtafuta mwakilishi wao ambaye atakwenda kuwawakilisha kwenye ngazi zinazofuata za mashindani haya ya urembo. Ambapo katika mashindano hayo ya kutafuta mlimbwende mshiriki (12), Neema Sissamo aliibuka kuwa Miss CBE 2015 huku nafasi ya pili (2) ikachukuliwa na Namie...