Jumamosi, 17 Oktoba 2015
Home »
» Mkuu wa Majeshi Jenaral Davis Mwamunyange Arejea Nchini Mzima wa Afya..Baada ya Tetesi za Kulishwa Sumu
Mkuu wa Majeshi Jenaral Davis Mwamunyange Arejea Nchini Mzima wa Afya..Baada ya Tetesi za Kulishwa Sumu
Sakata la Mkuu wa majeshi lililotikisa Mitandao Mbalimbali hapa nchini kuhusu afya yake hatimaye Mkuu huyo wa Majeshi amerejea Nchini kutoka kwenye ziara ya Kikazi nje ya Nchi,Mkuu huyo wa Majeshi hakuoneka Hadharani kwa Muda mrefu ndipo zikaanza taarifa za kulishwa chakula chenye Sumu.
Related Posts:
Laurence Masha Ajitoa Kugombea Urais TLS, Amuunga Mkono Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) Ndg. Laurence Masha amejitoa kwenye kinyang'anyiro hicho kwa hoja kuwa anaamini uwezo wa Lissu katika kuiongoza TLS.Amewaomba mawakili wote waliopanga kumpigia kura wampigie… Read More
Wakati Mwingine Wanasiasa Wawe Wakweli, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Hakuwa na Ziara Rasmi Tanzania..!!!! Naona watu wameibeba hii ya Katibu Mkuu wa UN kama "ajenda" tena,huku namuona Mtatiro akirusha makombora,na huku Mbunge Msigwa akirusha kwa upande wa pili.Vijana nao wamebeba mitandaoni kama ajenda ya kumalizia week k… Read More
P-Funk: Diamond Anapaswa Kutulia Kidogo, lasivyo Watu Watamchoka Producer mkongwe wa Bongo Records, P-Funk Majani, amesema kila siku akiendelea kusikia kuhusu Wasafi, itafika muda atawachoka. Amedai kuwa ili label hiyo iendelee kufanya vizuri kwa muda mrefu, ni lazima ibadili… Read More
Ndoto za Mbwana Samatta Kucheza na Mau United Zawekwa Pending Ndoto za mshambuliaji wa timu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mtanzania Mbwana Samatta za kukanyaga katika dimba la Old Trafford la Manchester United zimesubirishwa baada ya matokeo ya droo ya robo fainali kombe la Europa kwenda k… Read More
NINI CHA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA MAPENZI Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia siha njema na pia kwa kunipa mwangaza wa kuandika hiki ninachokusudia. Pia niwashukuru wapenzi wasomaji wa safu hii ambao tumekuwa tukiwasiliana na kushauriana hili na lile ka… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni