Mke wa Dr Slaa Amejibishana na Wadau Katika page yake ya Facebook na
kujikuta akijibu tuhuma zilizozagaa jana kwenye magazeti kuwa aliomba
mkopo wa sh mil 300 kwa kutumia nyumba ya Dr Slaa...
Soma Majibisha yao hapa;
Bryton Myrium Chadema
"Mama ni kweli ulitumia nyumba ya dr slaa kumuombea mkopo jamaa mwingine sory kama nimekosea kuulliza"
Josephine Mushumbusi
"Sandra Bahati mbaya sana huwa siamini taarifa za magazeti,hivyo huwa
hazipotezi mda Wangu sana. Pili hiyo ni taarifa hakuna mahala
wamewasiliana na mimi.
Tusubiri,maana najua wapi pa kuwauliza taarifa hizo walizitoa wapi.
Ufupi bado mtu WA kuniumiza hajazaliwa"
Aggrey Charles
"Mama Josephine Mushumbusi kwa nafasi yako nadhani ugeiga hata zuri moja
la Lowassa la UKIMYA. Kwani ni lazima ujibu kila kitu mama? Na ukijibu
utajibu mangapi? Ushauri wangu kwako tulia kimya ujisomee tu huku
mitandaoni siku zisogee. Mimi ni moja ya wafuasi wazuri wa Mh Dr W. SLAA
ila si mama (yaani wewe) lakini heshima yenu ipo kwangu siku zote.
UKIMYA wako utakuongezea kitu kuliko huku kuja kulumbana na vijana wenye
njaa ya kuona kuna kitu kipya kinazaliwa katika nchi. Watu wenye njaa
na kiu ya mabadiliko halisi hugombana na yeyote wanayemwona kama
kikwazo. Ni Ushauri tu mama".
Josephine Mushumbusi
"Sometimes it is too much.
Nimekuawa kimya sana.
Na nafikiri ni Leo tu nimeonekana hapa.
Lowasa Hana ukimya naomba tusifananishwe"
Ijumaa, 5 Februari 2016
Home »
» Mke wa Dr Slaa Josephine Mushumbusi Ajibu Kuhusu Tuhuma za Kuomba Mkopo Bank Kwa Kutumia Nyumba ya Slaa
Mke wa Dr Slaa Josephine Mushumbusi Ajibu Kuhusu Tuhuma za Kuomba Mkopo Bank Kwa Kutumia Nyumba ya Slaa
Related Posts:
CCM Washikana 'Uchawi' Baada ya Kulipoteza Jimbo La Bunda BAADHI ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Bunda wamemtuhumu mwenyekiti wa chama hicho wilayani hapa, Chacha Gimanwa, kwamba alichangia jimbo la Bunda Mjini kuchukuliwa na mgombea wa Chama cha Demokrasia na … Read More
Mengi Azomewa Diamond Jubilee, Aokolewa na Membe Mzee yamemkuta leo pale kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee leo.Ameokolewa na Mh Membe ambaye amemtoa kwa gari lake(pichani).Lakini pia Mwandishi Sam Maela wa ITV leo mchana kapata mshike mshike wa kushiba pale Lumumba,ili… Read More
Watu Sita Wapoteza Maisha Katika Ajali ya Gari Morogoro Watu sita wamefariki dunia baada ya gari ndogo waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria mali ya kampuni ya Princess Muro, lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Tunduma, katika eneo la hifadhi … Read More
Nimeikumbuka Kauli ya DK SLAA "Chama Changu Chadema Hakiwezi Kushinda Urais Mwaka huu 2015 Kutokana na Kula Matapishi Yetu..." DK Slaa "Chadema hakikuwa chama cha kukumbatia ufisadi na mafisadi..hakikuwa chama cha kusomba watu na magari mikutanoni...hakikuwa chama cha kuiba na kununua kura...sasa Chadema hii si ile tulioijenga.... nimeamua kus… Read More
Matokeo ya Mtihani wa Kitaifa wa Darasa la Saba 2015 Yako Hapa Haya ndo Matokeo...Bonyeza Mkoa husika kuyaona ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA IRINGAKAGERAKIGOMA KILIMANJAROLINDIMARA MBEYAMOROGOROMTWARA MWANZAPWANIRUKWA RUVUMASHINYANGASINGIDA TABORATANGAM… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni