Ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa(UN): Rwanda ilitoa mafunzo ya kijeshi
 kwa wakimbizi wa Burundi wamwondoe Nkurunziza madarakani.
Burundi imekabiliwa na machafuko tangu mwezi Aprili 2015, wakati Rais 
Pierre Nkurunziza alipotangaza kwamba atawania muhula wa tatu wa urais, 
ambao alishinda.
Akijibu madai hayo, waziri wa maswala ya kigeni nchini Rwanda Louise 
Mushikiwabo amesema kuwa mgogoro huo wa Burundi ni mzito na wa kujitakia
 miongoni mwa viongozi wa Taifa hilo na kwamba jamii ya kimataifa inafaa
 kuuangazia na kuwacha kutafuta sababu za kuuepuka. ''Ni Muhimu kuelewa 
kwamba usimamizi wa wakimbizi wa taifa jirani ni suala gumu, hivyo basi 
Serikali ya Rwanda imelazimika kuweka sheria kali dhidi ya wakimbizi wa 
Burundi''. Mushikiwabo amesema kuwa madai hayo yanatokana na hatua ya 
Rwanda kuwahifadhi wakimbizi wa Burundi ambao wanadaiwa kuwa wapinzani 
wa Serikali.
Waziri huyo ameongezea: Hatuwezi kuwarudisha wakimbizi hao hadi pale 
kutakapokuwa na mfumo ambao utalinda maisha yao nchini Burundi
______________________
A United Nations report has accused Rwanda of recruiting and training
 refugees from Burundi to oust President Pierre Nkurunziza, according to
 a Reuters news agency report.
Rebel fighters told the UN panel of experts who monitored sanctions 
on the Democratic Republic of Congo, that the training was done in a 
forest camp in Rwanda.
“They told the group that they had been recruited in the Mahama 
Refugee Camp in eastern Rwanda in May and June 2015 and were given two 
months of military training by instructors, who included Rwanda military
 personnel,” according to Reuters.
18 Burundian combatants including six children in South Kivu 
province, in eastern Congo told the experts they were trained in 
military tactics, use of assault rifles, rocket propelled grenades among
 others.
Rwanda Ambassador to the UN Eugene Gasana dismissed the claims.
“This further undermines the credibility of the Group of Experts, 
which seems to have extended its own mandate, but apparently 
investigating Burundi,” Ambassador Gasana told Reuters.
In December, Burundi had accused Rwanda of supporting a rebel group 
that was recruiting Burundi refugees in Rwanda but President Paul Kagame
 dismissed the claims describing it as “childish”.
Ijumaa, 5 Februari 2016
Home »
 » Siri Imefichuka..Kumbe Rwanda ilitoa Mafunzo ya Kijeshi kwa Wakimbizi wa Burundi Wamwondoe Nkurunziza Madarakani 







 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni