Kwa mujibu wa jarida la Daily Mail, inaelezwa kuwa mwanamke huyo aitwaye
 Iman Ahmad Abdulati mwenye miaka 36 hajawahi kutoka ndani kwa miaka 25 
na amekua akiongezeka uzito wake kwa haraka mpaka kufikia kilo 500 
zinazompa shida ya kujifanyia usafi na hata kula. Ripoti ya madaktari 
inaonesha kuwa mwanamke huyu anasumbuliwa na maambukizi ya bakteria 
wanaoshambulia ukuaji wa mwili.
Akiwa na miaka 11 alianza kusumbuliwa na tatizo hilo ingawa wazazi wake 
wanakiri kuwa hawakudhani kuwa ni tatizo lakini siku zilivyozidi kwenda 
ndipo wakabaini kuwa halikua jambo la kawaida hivyo wakaamua kutafuta 
wataalamu ambao walitoa ripoti kuwa ana matatizo ya mwili wake kukaa na 
maji mengi bila kuyatoa nje kitu ambacho sio cha kawaida kwa binadamu.
Jumanne, 25 Oktoba 2016
Home »
 » Kutana na Mwanamke Mnene Kuliko Wote Duniani… Ana Uzito wa Kilo 500








 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni