Mwanajeshi wa Umoja wa Matifa mali
Ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini
Mali unasema kuwa watu waliokuwa na silaha ambao walikuwa wakitumia
pikipiki wamewaua walinda amani tisa wa Umoja wa Mataifa kaskazini
mashariki mwa taifa hilo.
Uvamizi huo ndio mbaya zaidi kuwai kuwakumba wanajeshi hao wa Umoja wa Mataifa
Wanajeshi hao kutoka nchini Niger walikuwa wakisafiri...
Jumamosi, 4 Oktoba 2014
Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa
Womb Transplant baby
Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji.
Mwanamke
huyo mwenye umri wa miaka 36 alizaliwa bila kizazi kabla ya kuwekewa
kizazi cha mwanamke aliyekuwa katika miaka yake ya sitini.
Jarida
la afya la Uingereza ,the Lancet linasema kuwa mtoto huyo alizaliwa
kabla ya mda wake kufika mnamo...
Je Amisi Tambwe atacheza leo! Simba watoa majibu hapa
MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Amisi
Tambwe juzi alizua hofu kwa kocha
Patrick Phiri na rais wa klabu hiyo,
Evans Aveva baada ya kuumia
mazoezi Uwanja wa Boko ,
Dar es Salaam.
Tambwe aliumia goti baada ya
kugongana na beki Abdi Banda na
kushindwa kuendelea na mazoezi hadi
akafungwa barafu baada ya kutibiwa
kwa muda na Dk Yassin Gembe.
Kocha Phiri alionekana mwenye
wasiwasi na...
Ijumaa, 3 Oktoba 2014
MICROSOFT YAZINDUA WINDOWS 10
Kampuni ya Microsoft imezindua programu mpya ya Windows 10 ambayo imeipiku Windows 9.
Kampuni hiyo pia inatarajia wateja wake watarudi kwani wengi walikuwa wakisitasita kuboresha oparesheni zao tangu Windows 8.
Windows 10 itaingiliana na vifaa vingi hususan kutokana na uwezo wake wa kubadilisha ukubwa wa programu ya...
Usafiri wa treni kuboresha uchumi TZ?
Haba na Haba inaangazia hali ya usafiri wa treni nchini Tanzania. Kwa
kuwa mwelekeo uliopo katika sekta ya uchukuzi kwa sasa ni kuhakikisha
kuwa mizigo mizito na mingi inayosafirishwa umbali mrefu inatumia
usafiri wa reli. Je uboreshwaji wa usafiri wa treni unawezaje kuboresha
uchumi na maisha ya mtanzan...
Picha 3 za jinsi Waziri mkuu wa Uganda alivyonyang’anywa ulinzi nyumbani baada ya kutimuliwa kazi.
Jana
ndio Waziri mkuu mpya wa Uganda Ruhakana Rugunda kaapishwa ila kabla
yake alikua ni Amama Mbabazi ambae alifutwa kazi wiki kadhaa zilizopita
baada ya kukaa madarakani toka May 2011 akitokea kwenye Uwaziri wa
Ulinzi.
September 18 2014 ndio Rais Museveni alimuandikia Spika wa bunge
barua kumuarifu kuwa ameamua kumuondoa waziri mkuu huyo na nafasi yake
kuchukuliwa...
Kinshasa:Chimbuko la virusi vya HIV
Kinshasa mwaka 1955, janga la HIV lilikuwa linatesa mjini humu na kote nchini DRC hasa mkoa wa Katanga
Ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa miaka ya 1920 mjini Kinshasa, nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Wanasayansi wameeleza.
Wanasayansi
wa kimataifa wanasema ongezeko la watu,vitendo vya kukutana kimwili na
shughuli za usafirishaji kwa njia ya reli zilifanya virusi...
Picha za palikofanyika birthday party ya Diamond… kabla watu hawajaingia
Party
ilifanyika Golden Jubilee Towers Dar es salaam ambapo kama hujaona
pichaz za kilivyohappen unaweza kuchek post iliyotangulia kabla ya hii
kwenye hii siku kubwa ya Diamond aliyotimiza miaka 25 ya kuzaliwa.
...
Mambo 10 aliyoyasema Madee kuhusu ishu yake ya kuwekwa Polisi.
Madee
alikamatwa na Polisi saa kadhaa zilizopita baada ya tukio la yeye
kuibiwa simu akiwa kwenye gari tena likitembea ambapo waliohusika ni
watu wawili wakiwa kwenye pikipiki saa tisa usiku akitoka Kigamboni Dar
es alaam kufanya show hivyo akawa anavuka bahari ili aelekee nyumbani.
Baada ya kuchoropoa hiyo simu jamaa wa pikipiki walianza kukimbia
hivyo na dereva...
USAJILI WA KUDUMU FALCAO MANCHESTER UNITED HABARI KAMILI HII HAPA
Wakati
mkataba wake wa mkopo ukiwa umebakisha miezi nane kuisha, usajili
Radamel Falcao kwenda Manchester United umechukua nafasi kwenye vyombo
vya habari.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya
Uingereza ni kwamba Man United imekubaliana rasmi mahitaji binafsi na
mchezaji huyo kwa ajili ya kukamilisha usajili wa kudumu wa mchezaji
huyo wa Colombia.
Taarifa zinaeleza...
HII NI KUHUSU WANAJESHI KUPIGANA NA POLISI TARIME JUZI, WANGAPI WAMEUMIA? KISA?
Hii
ni taarifa kutoka Tarime mkoani Mara ambako watu 12 wamejeruhiwa wakati
wa mashambulizi ya kurushiana risasi kati ya askari wa JWTZ kituo cha
Nyandoto na polisi wa kituo cha stendi.
Kwa mujibu wa magazeti ya Nipashe na Mwanachi leo, hii ishu ilitokea
wakati Wanajeshi hao walipokua wakijaribu kumchukua Mwanajeshi mwenzao
aliyekamwatwa na polisi hao kwa kosa...
Jumatano, 1 Oktoba 2014
Tangazo la biashara lazua zogo China
Polisi wanachunguza ikiwa kampuni hiyo ilivunja sheria ya matangazo ya biashara
Kampuni moja nchini China
inakabiliwa na tisho la kutozwa kiwango kikubwa cha faini kwa kuwakodi
wanawake kuvua nguo zao kwenye treni mjini Shanghai kwa lengo la
kutangaza biashara ya kampuni hiyo kwa abiria.
Katika moja ya
video iliyowekwa kwenye mtandao wiki jana, wasichana...
AL-SHABAAB WAPATA PIGO SOMALIA
Wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab
Wanajeshi nchini Somali wameidhibiti
milima ya Galgala kutoka kwa wapiganaji wa kundi la
Al-Shabaab,kulingana na utawala wa eneo hilo.
Wanamgambo hao walikuwa wakiidhibiti milima hiyo ya Kaskazini mwa taifa hilo kwa miaka kadhaa.
Waziri wa habari wa Puntland amesema kuwa kamanda wa Alshabaab katika eneo hilo alisalimu amri...
UCL: PSG walivyoivunja rekodi ya Barcelona msimu huu – Beyonce na Jay Z wakishuhudia
Mwanasoka wa kibrazil David Luiz jana usiku alikuwa mchezaji wa
kwanza kuifunga goli FC Barcelona katika msimu mpya wa soka barani
ulaya.
Luiz alifunga goli hilo katika dakika ya 11 ya mchezo wa Champions League kati ya klabu PSG dhidi ya Barca.
Mchezo uliopigwa kwenye dimba la Stade de France na kuhudhuriwa na
mastaa kama Rais wa zamani wa nchi hiyo Sarkozy, David...
UCL: Matokeo ya Man City vs AS Roma na rekodi mpya aliyoiweka Totti
Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City imeendelea
kutopata matokeo chanya katika michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya kwa
mara ya pili mfululizo msimu huu.
Wakicheza kwenye uwanja wao wa Etihad dhidi ya AS Roma ya Serie A,
Sergio Aguero aliipatia timu yake goli katika dakika ya 4 kupitia mkwaju
wa penati.
Lakini dakika 19 baadae Francisco Totti...
UCL: Matokeo ya Chelsea vs Sporting Lisbon haya haya
Usiku wa jana watu wawili waliowahi kuwa vipenzi vya nchi ya Ureno –
Jose Mourinho na Nemanja Matic walirejea nchini humo katika jiji la
Lisbon lakini safari hii wakiwa kama wapinzani.
Huku Mourinho akionekana kuchukua ‘attention’ yote ya vyombo vya habari ndani ya jiji Lisbon, Nemanja Matic alikuwa kasahaulika.
Lakini katika dakika ya 34, mchezaji huyo wa zamani wa...
Amber Rose kaitaja sababu nyingine ya kuachana na Wiz Khalifa, picha ya ushahidi iko hapa pia
Kuvunjika
kwa ndoa ya mastaa Amber Rose na Wiz Khalifa kumeendelea kuchukua
nafasi kwenye headlines za dunia na hii ni baada ya Amber kutaja chanzo
mojawapo cha kuvunjika kwa uhusiano huo.
Kwenye interview ya Radio Amber amesema kingine kilichomkasirisha ni
kuona Wiz anawaendekeza warembo flani wawili mapacha ambao inaaminika
amekua akijihusisha nao kimapenzi.
Amber...