Watoto elfu 250 huenda wakafa kwa njaa Sudan
Mshirikishi mkuu wa shirika la Umoja wa mataifa nchini Sudan Kusini,
Toby Lanzer, amesema kuwa takriban watoto laki mbili u nusu wamo katika
hatari ya kufa katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo iwapo mashirika ya
utoaji misaada, hayatafikisha misaada kwa watu walio na mahitaji.
Wafuasi wa Rais Salva Kiir na mpinzani wake Riek...
Ijumaa, 29 Mei 2015
Ni Diamond Platnumz tena kwenye Headlines time hii kamshirikisha Mr. Flavour
Hii ni kolabo nyingine kutoka kwa Mtanzania Diamond Platnumz ambayo hii kamshirikisha mkali kutoka Nigeria Mr.Flavour wimbo unaitwa Nana,video imefanywa na GodFather mtu wangu.
Diamond Platnumz ametumia dakika hizi tatu kumuimbia mrembo aliye mbele ya macho yake,unaweza kumuandikia chochote hapa Diamond kisha baadae atapita na kusoma comment yako mtu wangu.
...
Jumamosi, 23 Mei 2015
IRELAND YAFANYA MAAMUZI KUHUSIANA NA NDOA ZA JINSIA MOJA
wapiga kura wajitokeza kwa wingi nchini Ireland ili kuamua kuhusu kuhalalishwa kwa ndoa za watu wa jinsia moja.
Wapiga kura wengi wameripotiwa
kujitokeza kwenye kura ya maoni nchini Ireland ya kuamua iwapo ndoa za
watu wa jinsia moja zinaweza kuhalalishwa .
Katika sehemu nyingine ukiwemo mji mkuu Dublin na miji mingine, idadi ya wapiga ilitarajiwa kufikia takriban asilimia...
ZAIDI YA WATU 40 WAUAWA MEXICO
Polisi nchini Mexico
Takriban watu 43 wameuawa wakati wa
ufyatulianaji wa risasi katika jimbo la Michoacan nchini mexico kati ya
vikosi vya usalama na genge moja lenye silaha.
Mapigano hayo
yalianza wakati magari ya polisi yalipofyatuliwa risasi kwenye barabara
moja kuu katika kijiji kilicho karibu na mpaka na jimbo la Jalisco.
Moja
ya megenge hatari zaidi ya madawa...
REAL MADRID YAWASILIANA NA BENITEZ
Rafael Benitez
Mkufunzi wa kilabu ya Napoli Rafael
Benitez ameorodheshwa miongoni mwa makocha wataokumrithi Carlo Ancelotti
katika kilabu ya Real Madrid.
Ancelotti anatarajiwa na wengi kuachana na kilabu hiyo baada ya mechi ya mwisho na Getafe wikiendi hii.
Mazungumzo
kati ya Real Madrid na Benitez yanaendelea huku kandarasi ya Benitez
katika kilabu ya Napoli ikitarajiwa...
DAVID LUIZ:'NIMEWAHI KUSHIRIKI NGONO'
David Luiz kushoto
Mlinzi wa klabu ya Paris St-Germain
David Luiz amevishtumu vyombo vya habari kwa kukosa heshima baada ya
kukanusha madai kwamba yeye hajawahi kushiriki katika tendo la ngono.
Ripoti
hizo zilianza kusambaa baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea
mwenye umri wa miaka 28 kusema katika instagram kwamba yeye na mpenziwe
''wako tayari kungojea''.
Aliiambia...
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye #TuzozaWatu2015.. Pichaz na list yote ya washindi iko hapa
Kilichosubiriwa kwa hamu na watu wengi ni tukio zima la Tuzo za Watu
ambapo fainali yake ilikuwa jana MAY 22 2015.. Kutokana na utaratibu
uliowekwa washiriki wote waliteuliwa na watu na baadae mchakato
ukakamilika kwa kuwapigia kura washiriki hao.
Yes.. jana usiku shughuli yote ilikuwa pale Hyatt Regency, hapa nina baadhi ya PICHAZ ambazo nimekuwekea pamoja...
Jumapili, 10 Mei 2015
Urais CCM waiweka pabaya kamati kuu, Mganga akutwa akiroga mahakamani na NEC yasitisha uandikishaji?
MWANANCHI
Mbio za urais ndani ya CCM sasa
zimefikia pabaya baada ya kuibuka hofu ya kuwapo kwa mpango wa kuivuruga
Kamati Kuu kabla ya haijakutana kuchuja majina ya makada watakaotakiwa
kupigiwa kura na Halmashuri Kuu ili kumpata mgombea atakayepeperusha
bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.
Hadi sasa CCM haijatangaza ratiba yake
kwa ajili ya kuongoza...