Jerry Silaaa Ameandika Haya Katika Ukurasa Wake wa Instagram
@jerrysilaa - Baba yangu Capt.William Silaa akiwa na Mhe.Deo 
Filikunjombe na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya helicopter
 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa. Taarifa za mwisho 
ilionekana imeanguka kwenye msitu wa Selous. Hakuna mawasiliano ya simu.
 Usiku kucha vyombo vyote vya serikali vimeendelea na jitihada za kufika
 eneo la tukio na jitihada kubwa zaidi zinaendelea asubuhi hii.
Nawaomba wote kuwa watulivu kwani jambo hili linahitaji umakini wa hali 
ya juu na ushirikiano wa taasisi nyingi za wizara tofauti.
Tuwaombee wote Mungu awanusuru. 







0 comments:
Chapisha Maoni