Mgombea urais anaesubiri kuapishwa Edward Lowassa akiwa katika jimbo la
Magu ameitaka tume ya uchaguzi kuwa makini kama kweli tume hiyo iko huru
la sivyo wataiingiza nchi katika matatizo makubwa ambayo hayajawahi
kutokea nchini.
Lowassa amewataka tume kuwa makini pasipo kuyumbishwa kwa kuwa amani ya
nchi hii iko mikononi mwao.Alisema anasikitishwa sana na maelezo
yanayotolewa na tume hiyo huku akihoji wapi uhuru wa tume hiyo kama
walivyodai mwanzo kuwa wako huru.
Lowassa pia ameitaka serikali ya CCM kutocheza na amani ya nchi hii.
Ijumaa, 16 Oktoba 2015
Home »
» LOWASA AIONYA TUME YA UCHAGUZI KWA KINACHOENDELEA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OCT 25
LOWASA AIONYA TUME YA UCHAGUZI KWA KINACHOENDELEA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OCT 25
Related Posts:
EBOLA INAENEA KWA KASI NCHINI LIBERIA. Ugonjwa wa Ebola unaenea kwa kasi nchini Liberia huku maelfu ya watu wakiambukizwa upya na idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka katika muda wa wiki tatu zijazo. Hii ni kwa mujibu wa shirika la afya duniani WHO. Shirika hilo … Read More
EURO 2015:ENGLAND YAIFUNGA USWISI England imeanza kusaka tiketi ya kucheza fainali za kombe la Ulaya kwa kuifunga Uswisi. England imeanza harakati hizo za kucheza fainali hizo zitakazofanyika huko Ufaransa baada ya kuishindilia Uswisi mabao 2-0 usiku wa k… Read More
NYAMA YA KIBOKO YAWALETEA MAAFA. Watu kumi walikanyagwa na gari lililokuwa linakwenda kwa mwendo wa kasi walipokuwa wanajaribu kujipatia angalau kipande cha nyama ya Kiboko mwishoni mwa wiki. Taarifa hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Daily Nation. Kiboko … Read More
EPL: Kilichoikuta Liverpool dhidi ya Aston Villa hiki hapa EPL: Kilichoikuta Liverpool dhidi ya Aston Villa hiki hapa Kwa mara ya nne mfululizo klabu ya Liverpool imekuwa ikikosa matokeo chanya kwenye uwanja wa nyumbani wa Anfield kila inapocheza na kikosi cha Paul Lambert – Aston Villa. Leo hii wakiwa nyumbani Liverpool huku ikiwacheze… Read More
La Liga: Matokeo ya FC Barcelona dhidi ya Athletic Bilbao Ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga imeendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa – FC Barcelona waliikaribisha Athletic Bilbao kwenye dimba la Nou Camp. Mchezo huo uliomalizika muda mfupi uliopita umeisha kwa matokeo y… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni