Mwanasiasa Habibu Mchange Ameandika yafutayo katika ukurasa wake wa Facebook kuhusu Ukawa:
'Nchi ina WANAFIKI SANA WA KISIASA HII..
Ukawa wamesusia kuapishwa Rais lakini UKAWA HAO HAO wameenda Bungeni
kujiandikisha kama watahudhuria hotuba ya Rais BUNGENI na wamelipwa
posho inayoendana na shughuli hiyo. sasa hii ndio kusema Baniani Mbaya
kiatu chake Dawa ama? Au kwa kuwa Uwanja wa Taifa hakukuwa na POSHO?..
kungekuwa na POSHO kama kawa asingesusa mtu?...ukiamua kususa unasusa
jumla sio nusu nusu. Utapeli wa kisiasa wa namna hii haufai..wangesusia
vyote!
By Habibu Mchange
0 comments:
Chapisha Maoni