Diamond Platnumz ni msanii ambaye (angalau kwa sasa) haoneshi dalili za
kushuka kimuziki hivi karibuni. Tunayo mifano mingi ya wasanii wa Bongo
ambao waliwahi kufanya vizuri sana na baadaye kupotea kabisa kwenye
ramani ya muziki.
Diamond ambaye ameachia ngoma mpya ‘Utanipenda’ wiki iliyopita ambayo
imekuwa gumzo kwa watu wa kila rika, ana akiba ya hits na collabo za
maana, ambazo kwa mujibu wa mpiga picha wake zinampa uhakika wa
kuendelea kukaa kileleni kwa miaka mingine kumi ijayo.
Japo zipo collabo kubwa za kimataifa alizoisha fanya, ameamua kufunga
mwaka kwa kuachia wimbo mwingine kabisa ambao hakuna aliyefahamu kama
upo wala utafanya vizuri, hii inathibitisha silaha zilizosalia kwenye
‘benki’ yake ya nyimbo huenda yakawa ni mabomu makubwa zaidi.
Collabo zinazosubiriwa kwa hamu ni pamoja na ile ya Diamond na Ne-yo, Diamond na P-Square, Diamond na Usher na zingine.
Alhamisi, 17 Desemba 2015
Home »
» Nyimbo 5 za Diamond zilizopo Store Zitaendelea Kumuweka Kileleni kwa Miaka 10 – Asema Mpiga Picha Wake
Nyimbo 5 za Diamond zilizopo Store Zitaendelea Kumuweka Kileleni kwa Miaka 10 – Asema Mpiga Picha Wake
Related Posts:
Kamanda wa Pwani Afafanua Mauaji ya Watu Watatu..!!! Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema kwa taarifa alizonazo, watu wawili wamepigwa risasi katika kijiji cha Nyamisati, Kibiti, kisha waliofanya uhalifu huo kuwachukua majeruhi na kuondoka nao. Awali t… Read More
Kama Huwezi Kuachana Naye Usijaribu Kuchungulia Mawasiliano Yake....!!! Kuna siku nilijifanya Mjuaji nikadukua mawasiliano ya mchepuko wangu niliyokutana nayo huko sasa ni hatari tupu, sms ya kwanza kuingia jamaa anampongeza kwa shughuli yao ya jana kuja huku whatsaap shughuli nzito nikajikut… Read More
Mkurugenzi wa Zamani FBI Amlipua Trump..!!! Aliyekuwa Mkuu wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), James Comey ameishtumu Ikulu ya Marekani kwa kumharibia jina na kusema uongo kuh… Read More
Jinsi ya Kuishi na Mwanamke Asikuloge au Kukupa Limbwata..!!! Nipo tena kwa Mara nyingine katika kubadilishana uzoefu juu ya mambo mbalimbali yanayohusu mahusiano,kuna jambo limekuwa liki… Read More
Duh..Kijana wa Kiume Akamatwa Akimfanyia Mtihani wa Chuo Mpenzi Wake wa Kike..!!! Imetokea huko Zimbabwe,wote wamekamatwa wapo polisi kijana wa kiume alidai aliamua kumsaidia mpenzi wake maana amerudia mara nne anafeli tu. … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni