Waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga amefanya ziara ya ghafla leo
Dec 16 2015 katika makambi mbalimbali ya Jeshi la Polisi Dar es salaam
na kutoa amri kwa viongozi wa jeshi hilo siku mbili za kuhakikisha
amepata taarifa kuhusu udhibiti wa dawa za kulevya.
“Wapo wajanja wana mbinu nyingi, lakini hawawezi kutuua. Na mimi hili ni
jambo nitalivalia njuga, lakini kwanini katika ukamataji wa dawa za
kulevya sisi tulioko kwenye operesheni tunakaa pembeni? Nataka jibu siku
ya Ijumaa”
Kuhusu watu kubambikiziwa kesi, Waziri limemgusa na kalizungumzia pia
“Hili la kubambika watu kesi tunaweza kuliondoa hata leo, kikubwa ni
kuwa na nidhamu, inakuwaje unambambika mtu kesi ili akuletee pesa? Hiki
ni kitendo cha rushwa na tuliangalie kwa pamoja na tutaliongea kwa
undani Ijumaa”
Alhamisi, 17 Desemba 2015
Home »
» Waziri Atoa Mkwara Jeshi la Polisi Atoa Siku Mbili Aletewe Taarifa Kuhusu Udhibiti wa Madawa ya Kulevya na Watu Kubambikiwa Kesi
Waziri Atoa Mkwara Jeshi la Polisi Atoa Siku Mbili Aletewe Taarifa Kuhusu Udhibiti wa Madawa ya Kulevya na Watu Kubambikiwa Kesi
Related Posts:
Jamani Nitoke Nnje ya Ndoa..?Nahitaji Ushauri Wenu...!!! Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa! Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai haku… Read More
P-Funk: Diamond Anapaswa Kutulia Kidogo, lasivyo Watu Watamchoka Producer mkongwe wa Bongo Records, P-Funk Majani, amesema kila siku akiendelea kusikia kuhusu Wasafi, itafika muda atawachoka. Amedai kuwa ili label hiyo iendelee kufanya vizuri kwa muda mrefu, ni lazima ibadili… Read More
Rumishael Shoo (Rummy) Ashikiliwa na Polisi Kwa Tuhuma za Dawa ya Kulevya Kamanda Sirro akiongea na waandishi wa habari amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata wahalifu mbalimbali, silaha na magari mawili aina ya Noah yaliyokuwa yakitumika kufanya uhalifu. Miongoni mwa aliowata… Read More
DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma Mbaroni Wakidaiwa Kupanga Kuhujumu Vikao Vinavyoendelea Wabunge wawili Bashe na Musukuma wamekamatwa leo asubuhi kabla ya kikao cha Kamati Kuu kuanza kutokana na kudaiwa kubeba ajenda ya "kwenda kumpinga Mwenyekiti". Kundi hili la wabunge lililokuwa na mjumbe mwingine, Adam M… Read More
Ishara Za Kujua Iwapo Umemkuna Mwanamke Wako Vizuri Kunako 6 X 6..!!! Leo acha niwape dondoo kadhaa kuhusu namna ya kujua kama umemkuna ipasavyo mwanamke wakati wa tendo la ndoa. 1.Kufinya shuka kwa nguvu au kitanda kwa nguvu wakati unampa mambo ni ishara mojawapo ya kuonye… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni