Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli amesema
kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi.
Pia amewahakikishia watanzania kuwa ahadi yake ya kutoa elimu bure
kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne ni lazima itekelezwe.
Amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa kodi.
0 comments:
Chapisha Maoni