Master J na Shaa wamekuwa kwenye uhusiano kwa miaka mingi sasa na wameendelea kuwa imara.
akini pamoja na kuwa hivyo, bado uhusiano wao wa kikazi una nafasi kubwa zaidi. Hali hiyo ndiyo imemfanya Shaa kujitahidi kutofautisha uhusiano wao na kazi kwakuwa kwake Master J ni bosi wake.
Master J na Shaa walikutana kwa mara ya kwanza kwenye mradi wa Cocacola Popstars takriban miaka 10 iliyopita.
Bonyeza HAPA kudownload application ya UDAKU SPECIAL kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Labels: Master J , Shaa
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
“Bosi wangu meaning ni CEO wa MJ Records, label iliyonisaini na ananisupport sana namshukuru mwenyezi Mungu, ni CEO lakini ni one of my best friends, nimemfamu sasa for ten years,” Shaa alikiambia kipindi cha Chill na Sky.
“He is one of my close advisors, ananishauri sana na nasikiliza sana ushauri wake, akikataa kitu nazingatia, akiniambia fanya hivi nasikiliza. Kwahiyo kama Shaa, Master ni my CEO, my boss and my very close friend, kama Sarah hayo ni ya Sarah.”
Jumanne, 3 Mei 2016
Home »
» PENZI la Mwanamuziki Shaa na Master Jay...Shaa Afunguka Kinachoendelea Kwa Sasa....
PENZI la Mwanamuziki Shaa na Master Jay...Shaa Afunguka Kinachoendelea Kwa Sasa....
Related Posts:
Lissu aachiwa kwa dhamana ya bondi ya Sh10mDar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo (Ijumaa) imemuachia, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) kwa dhamana ya bondi ya Sh10 milioni.Lissu amedhaminiwa na maelezo ya awali yatasomwa Aprili3, m… Read More
Alikiba Kuweka Muziki Wake Wasafi.com ni Sawa na Safari ya Mwezini..!! Kwa takribani miaka mitatu sasa mafahari wawili wa muziki wa kizazi kipya yaani Bongo Flava Alikiba na Diamond Platinumz wamekuwa katika bifu zito sana, licha ya wao kujaribu kila siku kuukwepa ukweli huo. Hakuna kati yao… Read More
Mwanamitindo afariki dunia kwa kugongwa na treni Mrembo wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Fredzania Thompson amegongwa na treni wakati akipiga picha.Fredzania alikuwa ni mwanafunzi wa chuo cha Blinn na alikuwa na ndoto za kuwa mwanamitindo mkubwa duniani. Mzazi wa mrem… Read More
Baada ya Video Inayodhaniwa ni ya Mwanae Kusambaa Ikimuonyesha Akifanya Mapenzi na Jibaba,Kajala Afunguka Haya Mapya..!!!1 Muigizaji wa Filamu Tanzania Kajala Masanja amewafungukia wanaomsema kwamba ameshindwa kumlea binti yake ' Paula' na kusema anatamani awaoneshe watu hao malezi anayompatia binti yake huyo. Akipiga story na eNewz,… Read More
Kama Huwezi Kuachana Naye Usijaribu Kuchungulia Mawasiliano Yake....!!! Kuna siku nilijifanya Mjuaji nikadukua mawasiliano ya mchepuko wangu niliyokutana nayo huko sasa ni hatari tupu, sms ya kwanza kuingia jamaa anampongeza kwa shughuli yao ya jana kuja huku whatsaap shughuli nzito nikajikut… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni