Shetta amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kuwa Diamond amewahi kutoka kimapenzi na mama Qayllah.
Wiki kadhaa zilizopita Shetta alifuta picha zote kwenye akaunti yake ya instagram huku akiwaacha mashabiki wake wakijiuliza maswali mengi kutokana na kitendo hicho.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena, kinachoruka kupitia Clouds FM, Shetta amesema, “kuhusu suala la mama Qayllah kutoka na Diamond hakuna ukweli wowote.”
“Kuhusu suala la kufuta picha ni management yangu mpya ilinishauri hivyo ndiyo maana unaona nilifuta picha zote hizo. Team team tu wameanzisha na kuzisambaza mitandaoni lakini hakuna ukweli wowote namuamini sana mke wangu. Mimi na Diamond tuko vizuri ila hizo,” aliongeza.
Jumamosi, 7 Mei 2016
Home »
» Shetta Akanusha Taarifa Kuwa Diamond Amewahi Kutoka Kimapenzi na Mkewe
Shetta Akanusha Taarifa Kuwa Diamond Amewahi Kutoka Kimapenzi na Mkewe
Related Posts:
Alichojibu Guardiola baada ya kuulizwa kama ataifundisha tena BarcelonaMiaka takribani mitatu baada kuacha kuifundisha klabu ya FC Barcelona, kocha Pep Guardiola amezungumzia kama ikitokea nafasi ya kurudi Nou Camp – atakubali kuifundisha timu hiyo. Akizungumza na gazeti la Mundo Depo… Read More
Breaking Rapper Geez Mabovu amefariki dunia usiku huu Kabla mwaka 2014 haujaisha idadi ya watu maarufu wa Tanzania waliotangulia mbele za haki imezidi kuongezeka na hii ni baada ya taarifa kutoka Iringa zilizoanza kusambaa kuanzia saa tatu usiku November 11 2014. Taari… Read More
Kwa wale watumiaji wa mboga za majani Dar, hii imetokea jana kwenye habari Huenda wewe ni mmoja kati ya walaji wa mbogamboga za majani lakini hujui mboga hizi zinalimwa katika mazingira gani… sasa baraza la mazingira Tanzania NEMC limebaini kuwa wakulima wa mboga za majani Dar wamekuwa wakitumia… Read More
Mwanamke ajitoa mhanga chuoni Nigeria Wapiganaji wa Boko Haram wamekuwa kero kwa serikali na wananchi wa Nigeria Mwanamke mmoja amejilipua katika chuo cha mafunzo Kaskazini mwa Nigeria. Walioshuhudia shambulizi hilo wanasema kuwa bomu lililipuka hu… Read More
Soma kuhusu binti aliyeamua kuongeza titi la tatu katika mwili wake Kweli duniani kuna vituko na ndivyo ilivyotokea kwa binti mmoja mwenye umri wa miaka21 baada yakufanyiwa upasuaji wa kuongeza titi la tatu katika mwili wake. Binti huyo aliyejulikana kama Jasmine Tridevil alitumia pauni … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni