Usiku wa kuamkia May 6 2016 Paka Rapa Young Dee alipost picha akiwa anavuta kitu ambacho mashabiki wake kwenye mtandao wa instagram walitafsiri ni bangi na kuanza kumporomosshea comments kuwa anaelekea kuwa kama Chidi Benz,
Je Young hapa alikuwa anavuta bangi ? na kama ni bangi ni sawa kwa msanii kufanya hivi bongo kama tunavyoona nje kwa kina Wiz Khalifa.
Jumamosi, 7 Mei 2016
Home »
» Young Dee Aporomoshewa Matusi Baada ya Kupost Picha Akivuta Bang
Young Dee Aporomoshewa Matusi Baada ya Kupost Picha Akivuta Bang
Related Posts:
Mwanaume aliyebakwa baada ya kupanda lifti ya mtu asiyemjua. Mwanaume mmoja amebakwa katika barabara ya daraja lenye shughuli nyingi mjini Newcastle baada ya kukubali kupanda lifti ya mtu asiyemjua.Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 24 aliingia kwenye gari hilo dogo mapema alfajiri a… Read More
Taarifa ya Kaimu Balozi wa Libya, Tanzania aliyejiua kwa kujipiga risasi. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania leo imepokea taarifa kutoka ubalozi wa Libya nchini ikieleza kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya Bw. Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa kujipiga risa… Read More
New AUDIO | Quick Rocka ft.Barnaba - SUKIDO | Download … Read More
New AUDIO | Joh Makini - I See Me (Najiona Mimi) | Download … Read More
Mwanamke aliyelazimika kunyoa kipara baada ya nywele zake bandia kunasa kwenye Super glue. Mwanamke mmoja Alexis Stanton amelazimika kunyoa nywele zote kichwani baada ya nywele zake bandia kunasa kwenye gundi aina ya super glue.Mwanamke huyo alilazimika kubaki na kipara na majeraha kidogo ambapo amesema alifanya … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni