Jarida la PEOPLE limefumua bonge moja la siri kuwa staa Rihanna na rapa Drake wamekuwa na mahusiano ya siri kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
Rihanna na Drake wamefanya collabo kama “Take Care” .“What’s My Name?” na “Work” ila pia wamekuwa wapenzi kwa muda sasa bila kutaka dunia ijue.
Rihanna ndio sababu ya Drake na Chris Brown kutoelewana ila kwa sasa inasemekana Kwa Rihanna pale Drake beki hazikabi
Jumamosi, 7 Mei 2016
Home »
» IMEBAINIKA Rihanna na Drake Wamekuwa Kwenye Mahusiano ya Siri Kwa zaidi ya Mwezi sasa
IMEBAINIKA Rihanna na Drake Wamekuwa Kwenye Mahusiano ya Siri Kwa zaidi ya Mwezi sasa
Related Posts:
Wanajeshi 9 wa Umoja wa Mataifa wauawa Mwanajeshi wa Umoja wa Matifa mali Ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini Mali unasema kuwa watu waliokuwa na silaha ambao walikuwa wakitumia pikipiki wamewaua walinda amani tisa wa Umoja wa Mataifa kaskazini ma… Read More
HATMA YA AFCON 2015 ? Shirikisho la soka barani afrika CAF limewaondoa mashindanoni waliokuwa wenyeji wa michuano ya AFCON Morocco baada ya taifa hilo kushikilia msimamo wake wa kutokuwa tayari kuandaa michuano ya AFCON mwaka 2015 kutokana na… Read More
Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa Womb Transplant baby Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 36 alizaliwa bila kizazi kabla ya kuwekewa kizazi cha m… Read More
Tanzania vs Uganda katika Kickboxing. Mtanzania anayefanya vizuri kwenye mchezo wa kickboxing Emmanuel Shija hivi karibuni ataipeperusha bendera ya Tanzania nchini Uganda wakati atakapopanda ulingoni kupambana na Mganda Moses Golola katika pambano la … Read More
Taarifa kuhusu ajali ya moto ulioteketeza shule ya msingi. Hii sio picha halisi ya ajali ya moto huo. Moto mkubwa umeteketeza majengo ya Shule ya msingi Filbert Bayi na kisha kusambaa na kuteketeza mabweni yote ya Wanafunzi pamoja na madarasa. Mwenyekiti wa shule hiyo Filbert … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni