Baada ya headline za Chama cha wananchi CUF kuwavua uanachama baadhi ya wanachama wake akiwemo aliyewahi kuwa mwenyekiti wake Profesa Ibrahim Lipumba JANA September 15 2016 kamati ya uongozi taifa imekutana na waandishi wa habari Dodoma na kuzungumzia hatma ya chama hicho ikiwa ni pamoja na kumtaka msajili wa vyama vya siasa asitumike kukiyumbisha chama hicho.
Alhamisi, 15 Septemba 2016
Home »
» SIASA WALICHOKIONGEA CUF KUHUSU KUWAVUA UANACHAMA WANACHAMA WAKE AKIWEMO PROF LIPUMBA
SIASA WALICHOKIONGEA CUF KUHUSU KUWAVUA UANACHAMA WANACHAMA WAKE AKIWEMO PROF LIPUMBA
Related Posts:
KINYWAJI KILICHOPEWA JINA ‘Poteza Ubikira’ CHAZUA GUMZO CHINA Kinywaji maarufu kwa jina ”blackout in a can’ nchini Marekani kimeingia nchini China na kuzua gumzo kwa watumiaji wa kinywa hicho.Four Loko , ni kinywaji kilicho na ladha ya matunda na asilimia 12 ya pombe kilitumik… Read More
KUTOKA BUNGENI: RAISI MAGUFULI KUHAMIA DODOMA RASMIMWAKA 2020 Leo Septemba 16, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha mkutano wa nne kwa Bunge la 11 uliodumu kwa muda wa wiki mbili, amesoma ratiba ya serikali kuhamia Dodoma.“Ili kufanikisha azma ya Serikali k… Read More
UKIFANYA HAYA MAMBO MAPENZI YATANOGA KWA ASILIMIA 90 Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano miwili ya namna wanandoa wa jinsia mbil… Read More
WABUNGE WOTE WA CUF WAMKATAA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA Wabunge wote wa Chama cha Wananchi (CUF) wametangaza rasmi kutomtambua aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba. Wamemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kutomkumba… Read More
FIESTA YARUDISHA PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA Wapenda Kunyapia nyapia Udaku wa Mastaa wa Bongo wameachwa njia panda baada ya mastaa Nuh Mziwanda na Shilole kuanza tena kuwa karibu kwa kupostiana kwenye page zao za mitandaoni, Wawili hao ambao siku za njuma wali… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni