Wanaume wengi sana hua tunadanganywa na wenza wetu kua tumewaridhisha vya kutosha lakini ukweli hua hakuna kitu
Hua wanafanya kwa nia njema tu kwani wanaume hua tunajiskia amani sana
kuambiwa umemfikisha mtoto wa kike kwani ni jambo la kishujaa kama
trumph uchaguzi us
kwa uzoefu wangu,mwanamke aliefika kileleni hua anakua hivi bila hata kuuliza au kusubili kuambiwa
1.MWILI KUISHIWA NGUVU
mwanamke aliefika orgasm hua anaishiwa nguvu mwili baada ya safari ndefu
ya mikito,ukiona baada ya sex msichana anauwezo wa kufanya kazi nzito
nzito jua umefanya kazi butu sio mpaka uambiwe
2.KUPITIWA NA USINGIZI BAADA YA MECHI
ukiona ka beby kako kamepitiwa na usingiz gafla baada ya sex jua kaz imeenda sawia,ikumbukwe kufika orgasm ni mechanism inzito,
3.MUSCULAR CONTRACTION
mwanamke anaekalibia/ aliefika kileleni misuli hubana na kuachia ,hii ni
kwa mwili mzima hadi kwenye vagina,hilitendo pia hufuatiwa na mwili
kutoa jasho.
ukiona ivo ujue kazi zimeenda sawia
Wakuu huu ni uzoefu wangu niliopata nikiwa field,
Ukiona mpenz wako hajaonyesha izo dalili muhimu basi jua hakuna kitu
Kama unajua dalili zingine zile kuu na muhimu tiririka
Wazee Pigeni kazi tutokomeze fake orgasm tunazodanganywa na kupewa kiburi ili tutoe chapaa
Ijumaa, 18 Novemba 2016
Home »
» Dalili Muhimu za Mwanamke Aliefika Kileleni Mkiwa Faragha.
Dalili Muhimu za Mwanamke Aliefika Kileleni Mkiwa Faragha.
Related Posts:
HIZI Hapa Sababu Tatu za Jiji la Mbeya Kuwa la Pili Kwa Wingi wa Makanisa Afrika Jiji la Mbeya ni la pili kwa wingi wa madhehebu barani Afrika likiongozwa na Lagos lililopo Nigeria. Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, jiji hilo lina makanisa 450 na Mtaa wa Sae pekee una mad… Read More
Aunt Ezekiel: Achana na Mimi Wewe Wema Sepetu MASTAA wawili waliokuwa mashosti siku za nyuma, Aunty Ezekiel na Wema Sepetu ‘Madam’ wameingia kwenye msuguano tena hivi karibuni huku hali ikionesha kuwa mastaa hao kwa sasa ndiyo basi tena. Hali hiyo imetoke… Read More
SAKATA la Oparesheni UKUTA: Viongozi wa Dini Waendelea Kusubiri Maombi Yao Kujibiwa na Rais Magufuli Viongozi wa dini nchini waliopanga kumwona Rais John Magufuli kwa mazungumzo kuhusu hali ya siasa nchini wanaendelea kusubiri maombi yao kujibiwa licha ya kupita zaidi ya siku 90 sasa. Mkuu wa Kanisa la Kiinji… Read More
Kiwanda cha Saruji cha Dangote Kimesitisha Uzalishaji wa Simenti...Sababu Hizi Hapa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kimesitisha uzalishaji kutokana kuelemewa na gharama za uendeshaji hatua inayowaacha watumiaji wake njia panda. Mwezi uliopita Kiwanda hicho kilililamikia Shirika la Maendeleo ya … Read More
Ndoa Ina Mwaka Sasa Inanishinda, Sina Hamu ya Kufanya Tendo la Ndoa na Mke Wangu Naombeni ushauri jamani, Nimeoa na ndoa yangu ina mwaka sasa. Mke wangu ana tabia nzuri sana kiasi kwamba kila mtu ananisifia kuwa nimepata mke bora.Tatizo linakuja kitandani, yaani si enjoy chochote kile kutok… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni