Jumamosi, 13 Septemba 2014

EPL: Kilichoikuta Liverpool dhidi ya Aston Villa hiki hapa EPL: Kilichoikuta Liverpool dhidi ya Aston Villa hiki hapa

IMG_7180.JPG
Kwa mara ya nne mfululizo klabu ya Liverpool imekuwa ikikosa matokeo chanya kwenye uwanja wa nyumbani wa Anfield kila inapocheza na kikosi cha Paul Lambert – Aston Villa.
Leo hii wakiwa nyumbani Liverpool huku ikiwachezesha kwa mara ya kwanza Mario Balotelli na Adam Lallana ndani ya Anfield, kikosi cha Brendan Rogers kimepoteza mechi ya pili ya msimu baada ya kukubali kipigo cha 1-0 kutoka kwa Aston Villa.
Goli la mapema kipindi cha kwanA lilofungwa na Gabry Agbonlahor lilitosha kuiadhibu Liverpool mbele ya mashabiki wao.
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:
Liverpool (4-2-3-1): Mignolet 6, Manquillo 6, Lovren 5.5, Sakho 6, Moreno 5.5, Gerrard 6, Henderson 6, Markovic 7 (Borini 71, 5), Coutinho 6, Lallana 5.5 (Sterling 61, 6), Balotelli 5.5 (Lambert 71, 5.5)
Subs (not used): Jones, Enrique, Toure, Lucas
Booked: Lallana, Moreno
Goals: NONE
Aston Villa (4-5-1): Guzan 7, Hutton 6, Senderos 7.5, Baker 8, Cissokho 7, Cleverley 7 (Sanchez 86), Westwood 7, Delph 7.5, Agbonlahor 7 (Bent 90), Weimann 7 (N’Zogbia 72, 6), Richardson 6.5
Subs (not used): Okore, Bacuna, Given, Grealish
Booked: Hutton
Goals: Agbonlahor (9)
Man of the match: Nathan Baker
Referee: Lee Mason
Attendance: 44, 689

0 comments:

Chapisha Maoni