Naombeni ushauri jamani,
Nimeoa na ndoa yangu ina mwaka sasa. Mke wangu ana tabia nzuri sana
kiasi kwamba kila mtu ananisifia kuwa nimepata mke bora.Tatizo linakuja
kitandani, yaani si enjoy chochote kile kutoka kwake najikuta sina hamu
naye kabisa hali inayopelekea niwe nasingizia naumwa ili asiombe mechi.
Na nilimuoa kwa sababu ya tabia yake na hatukusex mpaka ndoa! Nashindwa
kutoka nje kwa sababu ya heshima niliyonayo ndani ya jamii na pia
kuheshimu ndoa yangu na isitoshe kwa sasa tuna mtoto mchanga. Ana
maumbile makubwa na pia maji mengi nimefikia hatua hata abaki uchi mbele
yangu sisimki kabisa.
Nimecreate account fake ili nipate ushauri please
Jamani nifanyeje kwani si enjoy kabisa maumbile yake?
Jumatano, 23 Novemba 2016
Home »
» Ndoa Ina Mwaka Sasa Inanishinda, Sina Hamu ya Kufanya Tendo la Ndoa na Mke Wangu
Ndoa Ina Mwaka Sasa Inanishinda, Sina Hamu ya Kufanya Tendo la Ndoa na Mke Wangu
Related Posts:
Rekodi 5 za kuvutia za Lionel Messi ambazo hazijawahi kuvunjwa na mchezaji yoyote … Lionel Messi ni staa wa soka wa kimataifa wa Argentina ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania aliyojiunga nayo mwaka 2001 na mwaka 200… Read More
Umeiona video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’?ninayo hapa…… Belle 9 baada ya kutambulisha rasmi single yake mpya Burger Movie Selfie katika vituo mbalimbali vya radio Dec 7 2015, sasa time hii pia ametusogezea na vid… Read More
Mawaziri wa Jakaya Kikwete Hawajahama Nyumba za Serikali Wakati Watanzania wakisubiri kufahamu sura zitakazoingia kwenye baraza jipya la mawaziri katika Serikali ya Rais John Magufuli, baadhi ya mawaziri wa awamu iliyopita ya Jakaya Kikwete hawajaziachia nyumba za Serikali … Read More
Wakati Tanzania Tukiwa Tunashangilia Kusimamishwa Maofisa TRA, Kenya Wanafanya Hivi... Kwa wanaofatilia siasa za kenya kulikua na skendo iliyokua inamuhusu waziri wa uhuru Anne Waiguru, huyu Anne Waiguru alikua ni waziri mtu mkubwa na maarufu serikalini. Zimepotea 795 milion kshs ambazo ni kama 16 … Read More
After Lots of Rumors Finally Quick Racka Confirms Dating Kajala There have been lots of speculations and rumors about Kajala dating Bongo Flava singer Quick Racka. Media did write about their secret relationship although they both denied it. Even Quick Racka had tattoo of Kajala's n… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni