Hii baada ya domo na mavoko kuachia ngoma povu likamtoka ommy
akimshushia domo kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa domo
aache tabia zake za kununua view, tunzo kuwa awekeze kwenye mziki mzuri
usio na ujanja ujanja naye domo hakuwa mbali akamjibu kuwa nae apunguze
tabia za kipunga
Hata hivyo kama mnavyojua Diamond na uswahili wake hakutaka kuacha
lipite kimya kimya akaamua kumjibu ommy dimpoz kwa kutupia dongo
Jumatano, 23 Novemba 2016
Home »
» BAADA ya WCB Kutoa Wimbo , Ommy Dimpoz Atao Mapovu, Diamond Amjibu na Kuvujisha Siri ya Ugomvi Wao
BAADA ya WCB Kutoa Wimbo , Ommy Dimpoz Atao Mapovu, Diamond Amjibu na Kuvujisha Siri ya Ugomvi Wao
Related Posts:
Umeipata hii ya Daktari feki aliyekamatwa Taasisi ya MOI? Moja kati ya matukio yaliyochukua headline ni hili tukio la kukamatwa Daktari feki, Dismas Macha katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatw… Read More
Nguvu ya Mapenzi itamrudisha Chris Brown kwa Karrueche? Soma alichokiandika @Instagram Weekend iliyopita imeisha kwa habari za kuisha kwa penzi la Chris Brown na Karrueche, halafu story kuibwa ya pili ikawa yale madongo ambayo kila mmoja akimtuhumu mwenzake kwamba ndiye sababu ya mapenzi yao kuisha.… Read More
TAKWIMU MBAYA KWA ARSENAL. Hali ndani ya klabu ya Arsenal imezidi kuwa mbaya baada ya mashabikiw a klabu hiyo kuendelea kushinikiza kuondoka kwa kocha wao Arsene Wenger . Shinikizo hilo liliongezeka mwishoni wa wiki iliyopita wakati Arsenal ilipof… Read More
DADA WA KAZI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA AOMBA MSAMAHAJolly Tumuhirwe Mfanyakazi wa nyumbani aliyenaswa kwenye kanda ya video akimchapa na kumkanyaga mtoto nchini Uganda, amefikishwa mahakamani leo. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe aliambia mahakama kuwa anajulia kile alichokif… Read More
Hizi ni picha za Miss CBE 2015 jinsi ilivyofana Dar es Salaam… Chuo cha usimamizi wa Fedha CBE usiku wa Feb 28, 2015 walikua wakimtafuta Miss CBE ambaye kwao ni kama kumtafuta mwakilishi wao ambaye atakwenda kuwawakilisha kwenye ngazi zinazofuata za mashindani haya ya urembo. Amba… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni