Ni jambo limenishangaza kifupi sina tabia ya kumfuatilia mpenzi wangu
iwe kwenye simu au kwenye mambo mengi but hii ilinibidi tuu.
Wakati mchumba wangu alipokuja kwangu weekend hii na kushinda siku tatu
nikajitoa ufahamu ili nisiishi kama fala nikajikuta nikiwa room
nikachukua mkoba wake nikawa naangalia nilihamaki baada ya kukuta mafuta
ya KY na babycare, mawazo yalinipeleka mbali sana kwa kweli hadi
kupelekea kuvuta picha tuwapo faragha mbona my wangu sehemu zake za siri
siyo kavu labda huwa anakauka (lubricant)?
Sasa nikakosa jibu ila nikaogopa kumuuliza maana ningeweza kuzua
mengine. Sasa nijikaze nimuulize au nitumie njia gani kumuuliza au haya
mafuta ya ulainishaji anatembea nayo kwa ajili gani na hajawahi kutumia
na mimi...
Jumatano, 23 Novemba 2016
Home »
» Nimekuta Mafuta ya KY na Babcare Kwenye Mkoba wa Mchumba Wangu
Nimekuta Mafuta ya KY na Babcare Kwenye Mkoba wa Mchumba Wangu
Related Posts:
Rumishael Shoo (Rummy) Ashikiliwa na Polisi Kwa Tuhuma za Dawa ya Kulevya Kamanda Sirro akiongea na waandishi wa habari amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata wahalifu mbalimbali, silaha na magari mawili aina ya Noah yaliyokuwa yakitumika kufanya uhalifu. Miongoni mwa aliowata… Read More
Jamani Nitoke Nnje ya Ndoa..?Nahitaji Ushauri Wenu...!!! Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa! Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini huwa anadai haku… Read More
DODOMA: Bashe, Malima na Musukuma Mbaroni Wakidaiwa Kupanga Kuhujumu Vikao Vinavyoendelea Wabunge wawili Bashe na Musukuma wamekamatwa leo asubuhi kabla ya kikao cha Kamati Kuu kuanza kutokana na kudaiwa kubeba ajenda ya "kwenda kumpinga Mwenyekiti". Kundi hili la wabunge lililokuwa na mjumbe mwingine, Adam M… Read More
Ishara Za Kujua Iwapo Umemkuna Mwanamke Wako Vizuri Kunako 6 X 6..!!! Leo acha niwape dondoo kadhaa kuhusu namna ya kujua kama umemkuna ipasavyo mwanamke wakati wa tendo la ndoa. 1.Kufinya shuka kwa nguvu au kitanda kwa nguvu wakati unampa mambo ni ishara mojawapo ya kuonye… Read More
P-Funk: Diamond Anapaswa Kutulia Kidogo, lasivyo Watu Watamchoka Producer mkongwe wa Bongo Records, P-Funk Majani, amesema kila siku akiendelea kusikia kuhusu Wasafi, itafika muda atawachoka. Amedai kuwa ili label hiyo iendelee kufanya vizuri kwa muda mrefu, ni lazima ibadili… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni