Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa 
kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua 
kimoja.
Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka 
umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio 
lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.
Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti 
iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura 
nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma 
amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi
 msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.
Karibuni wadau







 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni