Baada ya Sakata la Madawa ya Kulevya kumuandama mpaka kufikia kulazwa
Hospitalini, Uhamiaji nao wamekuja na Mpya baada ya kukamata Passport
Kadhaa ofisini kwake za watu kutoka nje ambao wanafanya kazi kwenye
kampuni yake bila vibali vya uhamiaji....
Jumanne, 14 Februari 2017
Home »
» Upepo Mchafu Wazidi Kumuandama Manji, Asakwa na Uhamiaji Kwa Kosa Hili
Upepo Mchafu Wazidi Kumuandama Manji, Asakwa na Uhamiaji Kwa Kosa Hili
Related Posts:
UCL: Matokeo ya Chelsea vs Sporting Lisbon haya haya Usiku wa jana watu wawili waliowahi kuwa vipenzi vya nchi ya Ureno – Jose Mourinho na Nemanja Matic walirejea nchini humo katika jiji la Lisbon lakini safari hii wakiwa kama wapinzani. Huku Mourinho akionekana kuchukua ‘… Read More
UCL: Matokeo ya Man City vs AS Roma na rekodi mpya aliyoiweka Totti Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City imeendelea kutopata matokeo chanya katika michuano ya ligi ya mabingwa wa ulaya kwa mara ya pili mfululizo msimu huu. Wakicheza kwenye uwanja wao wa Etihad dhidi … Read More
Ulisikia ile show ya Jose Chameleone ambayo kiingilio ni milioni moja? amezitaja sababu 3 hapa Kwa hapa Tanzania tumezoea show kubwa kama Fiesta tunaona mastaa wakubwa kama Rick Ross, Ludacris na wengine kwa kiingilio kisichozidi elfu 20 ambapo mwaka huu anashuka T.I October 18 lakini tukirudi kwenye show bi… Read More
Raila Odinga atandikwa kiboko Raila Odinga alichapwa mara mbili kwa kiboko katika tukio ambalo limewashangaza wengi Hali ya taharuki iliibuka katika mkutano wa hadhara katika jimbo la Kwale nchini Kenya, baada ya mwanamume mmoja kwenda uku… Read More
Amber Rose kaitaja sababu nyingine ya kuachana na Wiz Khalifa, picha ya ushahidi iko hapa pia Kuvunjika kwa ndoa ya mastaa Amber Rose na Wiz Khalifa kumeendelea kuchukua nafasi kwenye headlines za dunia na hii ni baada ya Amber kutaja chanzo mojawapo cha kuvunjika kwa uhusiano huo. Kwenye interview ya Rad… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni