Mimi ni msichana 21 aged, nishawahi pitia relationship 3( long 
distance). I never had sex with any of them tho. (im virgin), lakini 
siku zinavyozidi kwenda naona uvumilivu unanishinda...Marafiki zangu 
wanadai hiyo kitu ni tamu sana
Sometimes, natamani niende na mwnaume yoyote tuu.  Ushauri wenu tafadhali. "Ndege mjanja asinase kwenye tundu bovu.







 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni