Sio lazima unifollow kwenye instagram wala kunifata kwenye mtandao wowote wa kijamii, ingekuwa tofauti sana kama nataka kujitangazia mali zangu basi ningetumia mabango ya barabarani lakini sifanyi hivyo.
Jumatano, 23 Julai 2014
Home »
» Baada ya Davido kuambiwa anajionyesha na mali zake kwenye instagram..amejibu kama ifuatavyo..
Baada ya Davido kuambiwa anajionyesha na mali zake kwenye instagram..amejibu kama ifuatavyo..
Sio lazima unifollow kwenye instagram wala kunifata kwenye mtandao wowote wa kijamii, ingekuwa tofauti sana kama nataka kujitangazia mali zangu basi ningetumia mabango ya barabarani lakini sifanyi hivyo.
0 comments:
Chapisha Maoni