Gavana
wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa
mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa
Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi Bashir Mrindoko
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa
kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo
Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Katiba na
Sheria, Mhe. Dkt. Asha- Rose Migiro na (katikati) Mtendaji Mkuu wa Ofisi
ya Rais- Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), Bw. Omari Issa.
Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene akichangia hoja wakati
mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa
Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika
ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini.
0 comments:
Chapisha Maoni