Jumatano, 23 Julai 2014

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 45 ZA KISIMA KIJIJI CHA KAMBI YA SIMBA KARATU


Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akipeana mkono na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba, Damian John wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi ya Sh. Milioni 45 zilizotolewa kwa ajili ya kuchimba kisima cha maji kijijini hapo mwishoni mwa wiki. Wengine ni Meneja Mauzo TBL Mkoa wa Arusha Richard Temba (mwenye miwani) na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Karatu Moses Mabula.
 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kambi ya Simba, Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu, Arusha, wakati wa hafla ya kuwakabidhi mfano wa hundi ya sh. mil. 45 za kugharamia uchimbaji wa kisima cha maji kijijini hapo, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Meneja Mauzo TBL Mkoa wa Arusha Richard Temba na aliyekaa ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Karatu, Moses Mabula. (N.L)

 Wananchi wa kijiji hicho wakishuhudia makabidhiano ya hundi hiyo
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, Moses Mabula na Meneja Mauzo TBL Mkoa wa Arusha Richard Temba wakiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Maji ya Kijiji cha Kambi ya Simba pamoja na watalaamu watakaochimba kisima hicho cha maji, baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Sh. Milioni 45 na TBL.

Related Posts:

  • DAYNA NYANGE AITAMANI NDOA Biblia Takatifu kitabu cha Mathayo 19:3 unasema “Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, kwa hiyo wao si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikite… Read More
  • RAIS KABILA AMFUKUZA KAZI WAZIRI ALIYEPIGA PUNYETO OFISINI Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila amemfukuza kazi Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano, Enock Sebineza kutokana na utovu wa nidhamu baada ya kuvuja kwa video mitandaoni ikimuonesha akijichua nyeti zake a… Read More
  • Donald Trump Asema Uchina “inaibaka” MarekaniMgombea mkuu wa chama cha Republican Donald Trump ameshutumu Uchina na kusema imekuwa “ikiibaka” Marekani kupitia sera zake za kibiashara. Ameambia watu waliohudhuria mkutano wa kisiasa Indiana kwamba Uchina imekuwa ikitekele… Read More
  • RANIERI KUIKOSA MECHI YA CHELSEA NA TOTTENHAM Boss wa Leicester City Claudio Ranieri anauwezekano mkubwa asiangalie mechi ya Chelsea na Tottenham hii leo kwa sababu atakuwa ndani ya ndege kutoka Italia. Mbweha hao weupe kutoka Kings Power watachukua ubingwa Premier Leag… Read More
  • Lulu Michael:Mastaa Bongo Mtaishia Kuchambana Instagram tuuZA uso laivu! Staa mwenye mvuto Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi Bongo wataishia kuchambana kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram badala ya kutafuta elimu ili siku moja wapate nyadhifa serikalini.… Read More

0 comments:

Chapisha Maoni