Home »
» La Liga: Matokeo ya FC Barcelona dhidi ya Athletic Bilbao
Ligi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga imeendelea leo kwa michezo
kadhaa kupigwa – FC Barcelona waliikaribisha Athletic Bilbao kwenye
dimba la Nou Camp.
Mchezo huo uliomalizika muda mfupi uliopita umeisha kwa matokeo ya ushindi wa 2-0 kwa FC Barcelona.
Akiwa anahitaji magoli mawili tu kufikisha jumla ya magoli 400 katika
maisha yake ya soka, Lionel Messi alishindwa kutimiza idadi hiyo lakini
badala yake akatoa assists mbili za magoli ya ushindi ambayo yote
yalifungwa na Neymar.
Timu zilipangwa kama ifuatavyo:
Barcelona: Bravo, Montoya, Mascherano (Pique 46), Mathieu, Alba,
Busquets, Rakitic, Iniesta, Munir (Neymar 63), Messi, Pedro (Sandro 77).
Subs: Ter Stegen, Xavi, Sergi Roberto, Adriano.
Booked: Busquets.
Goal: Neymar 80, 84.
Athletic Bilbao: Iraizoz, De Marcos, Gurpegui, Laporte, Balenziaga,
Susaeta (Ibai 64), Iturraspe, Benat (Unai Lopez 64), Mikel Rico (Viguera
83), Muniain, Aduriz.
Subs: Iago Herrerin, San Jose, Iraola, Etxeita.
Booked: Aduriz.
Referee: David Fernandez Borbalan.
Attendance: 80,081
Related Posts:
UKOCHA: Pluijm Amwaga Mboga Yanga
Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwaga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa
klabu ya soka ya Yanga ambayo licha ya uongozi wake jana kukanusha
kuajiriwa kwa kocha Mzambia George Lwandamina na kuachana n… Read More
Diamond Platnumz Awatupia Madongo Walio Kuwa Wanasema Hajanunua Nyumba South Afrika...Adai Uswahili wake Unamlipa
Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo....
"Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie
wasininunie mie, wakazane....… Read More
Jamaa Yake Amemwekea Tego, Msichana Yupo Tayari Kunipa Papucha ila Anaogopa Tutanasiana au Ntapata Tatizo
Nimempata dada mmoja mitaa fulani, ni mzuri sana na she is sexy.
Kiukweli tumependana nami nilivyomuona tu siku ya kwanza pale ofisini
nilimpenda nikaomba tuwe na ukaribu. Tukaanza ukaribu basi juzi juzi
hapa n… Read More
Magazeti ya Tanzania October 26, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Share
Tweet
Share
Share
comments
October 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kua… Read More
Rais Magufuli Aongoza Kura Kuwania Tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’
Rais John Magufuli anaongoza kura za kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa
Person of The Year’, ambayo hutolewa kwa watu walioonyesha mchango kwa
jamii.
Huku zikiwa zimebaki siku 21 kwa mshindi wa tuzo hiyo kuta… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni