Home »
» EPL: Matokeo ya Man City vs Arsenal haya hapa
Baada ya mapumziko ya takribani siku 14, hatimaye ligi kuu ya England
imerejea tena leo kwa mchezo mkali kati ya Man City dhidi ya washika
bunduki Arsenal.
Mchezo uliopigwa kwenye dimba la Emirates ulikuwa mkali na wa kusisimua kwa timu zote zikipoteza nafasi kadhaa za ushindi.
Matokeo ya mwisho ya mchezo yalikuwa sare ya 2-2.
Sergio Aguero alianza kuifungia City katika dakika ya 28, na mpaka mapumziko vijana wa Pellegrini walikuwa mbele kwa 1-0.
Kipindi cha pili kilianza vizuri kwa Arsenal na ndani ya dakika 15 tu Jack Wilshare aliisawazishia timu yake.
Dakika kadhaa baadae Alexis Sanchez akaongeza goli la pili, lakini
furaha ya Arsenal ikadumu kwa muda mfupi baada ya Martin Demichelis
kuisawazishia City kwa goli la kichwa kupitia kona ya David Silva.
Dakika chache kabla ya filimbi ya mwisho Man City walikosa makosa
magoli kadhaa huku Samir Nasri akikataliwa goli baada ya kufunga akiwa
offside.
Related Posts:
Majibu ya Snura baada ya Chura wake Kupigwa Nyundo na SerikaliBaada ya wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kuufungia wimbo wa Snura, Chura jana, muimbaji huyo anaonesha kutoshtushwa na hatua hiyo hasa kutokana na support anaiyopata kutoka kwa mashabiki wake.
Kwa ufupi haoneshi… Read More
Kampuni yatozwa Sh118 Bilioni Poda yake Kusababisha SarataniPoda ya Johnson, iliyodhaniwa kuwa ni kipodozi na tiba mujarabu kwa watoto na watu wazima duniani kote imebainika kusababisha saratani.
Jana, Mahakama ya St Louis ya Marekani, iliiamuru kampuni inayotengeneza poda hizo, Johns… Read More
P Diddy Aongoza Orodha ya Forbes ya Wana Hip Hop Watano Wenye Mkwanja zaidiForbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five.
Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na Dr Dre mwenye dola milioni 7… Read More
Mwita Waitara Azusha Tafrani Bungeni.......Ni Baada ya Kutaka Kumchapa Ngumi Mbunge wa Kasulu Aliyedai Tundu Lissu na Mnyika Ni VichaaMbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) ametolewa nje ya Bunge baada ya kutaka kumkwida Mbunge wa Kasulu Vijijini, Agustine Holle (CCM) aliyedai kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Mbunge wa Kibamba, John Mnyik… Read More
Wabunge warushiana makonde Afrika KusiniWabunge nchini Afrika Kusini wamepigana bungeni baada ya spika kuamuru maafisa wa usalama kuwaondoa kwa lazima wabunge wa upinzani ambao walimbeza rais Jacob Zuma alipoingia bungeni tayari kulihutubia kikao.
Rais Zuma ambaye … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni