Kwenye zama hizi za Hapa kazi tu za Mheshimiwa Rais John Magufuli,tunashuhudia mambo mengi ambayo mengine tulikua hatuyafikirii kama yanawezekana kufanyika kutoka kwa viongozi wetu,Dec 12Mawaziri na Manaibu wao walioteuliwa na Rais Magufuli waliapishwa na baada ya kuapishwa wapo walioendelea na majukumu yao. Miongoni
mwa Manaibu Waziri walioanza kazi yao mapema ni pamoja na Naibu Waziri
wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dokta Hamis
Kigwangwala baada ya kula kiapo alifanya ziara ya kushtukiza Dec 12
kwenye hospital ya Amana iliyopo Ilala Dar es salaam,nimenasa baadhi ya
picha na video mtu wangu. Hii ni video alipoenda kwenye chumba cha Utra Sound.
Picha ya Diamond akipiga story na Nelly kwenye red carpet ya BET
Tukio la BET awards 2014 limefanyika na mambo mbalimbali yalitokea, zaidi ya interview kwenye redcarpet Diamond amekutana na wasanii tofauti. Hivi sasa ameshare picha zake akiwa na msanii Nelly wakionekana kwenye mazungumzo…Read More
Ebana umekiona kipande cha video ya Diamond ft Iyanya..kipo hapa Hii h
Diamond ameshafanya kazi nyingi ambazo bado hazijatoka, moja kati ya hizo ni audio na video yake na Iyanya.apa ni teaser ya video ya wimbo wa Bum bum akiwa na Iyanya. Sekunde 15 zinatosha kuangalia teaser yote, e…Read More
Hizi ndizo siku zilizobaki hadi wimbo mpya wa @Shaa_tz utoke.
Kama bado haujaona picha na video za behind the scene wakati Shaa anarekodi video ya wimbo huu basi utaziona hapa. Wimbo unaitwa Subira ukiwa ni wa pili tangu aanza kufanya kazi na Mkubwa na wanae baada ya kutoa Sugua gaga.…Read More
0 comments:
Chapisha Maoni