Baada ya wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kuufungia wimbo wa Snura, Chura jana, muimbaji huyo anaonesha kutoshtushwa na hatua hiyo hasa kutokana na support anaiyopata kutoka kwa mashabiki wake.
Kwa ufupi haoneshi stress, walau kwa kile alichokiandika kwenye Instagram. “Ingekua ndio hela leo ningekua bilionea lo!!! Nawapenda sana kwakweli na nawatakia usiku mwema,” aliandika Snura kwenye Instagram.
Aliongeza hashtag: #utaipenda2_ndimuimekolea_malimao_kama__210_habarizetuwanazo_ilazaohatuna.”
Pamoja na wimbo huo kufungiwa kuchezwa kwenye redio na TV, Snura aliagizwa kuhakikisha amefuta video zake zote mtandaoni.
Alhamisi, 5 Mei 2016
Home »
» Majibu ya Snura baada ya Chura wake Kupigwa Nyundo na Serikali
Majibu ya Snura baada ya Chura wake Kupigwa Nyundo na Serikali
Related Posts:
SUMAYE:NASHANGAA KWA NINI RAIS MAGUFULI ANAPENDA SIFA FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu ameeleza kushangazwa na Serikali ya Rais John Magufuli kupenda kusifiwa zaidi na kuchukia kukosolewa, Sumaye bila kumtaja jina Rais Magufuli ameleza kushangazwa na hatua ya serikali ku… Read More
POLISI MATATANI KWA KUOMBA RUSHWA YA MILIONI 7 POLISI mkoani Rukwa inawashikilia askari wake wawili wa Kituo Kikuu cha Polisi wilayani Nkasi, wakituhumiwa kuomba na kupokea rushwa ya zaidi ya Sh milioni 7.2 wamsaidie mtuhumiwa. Kaimu Kamanda wa Polisi wa Rukwa, Leonce … Read More
PENZI la Mwanamuziki Shaa na Master Jay...Shaa Afunguka Kinachoendelea Kwa Sasa....Master J na Shaa wamekuwa kwenye uhusiano kwa miaka mingi sasa na wameendelea kuwa imara. akini pamoja na kuwa hivyo, bado uhusiano wao wa kikazi una nafasi kubwa zaidi. Hali hiyo ndiyo imemfanya Shaa kujitahidi kutofautisha … Read More
Wabunge Watwangana Ngumi Bungeni.. Wanachama wa chama tawala cha Uturuki cha AK na chama kinachoungwa mkono na Wakurdi wamepigana ngumi bunge kuhusiana na mpango kuwaondolea kinga wabunge ya kutoshitakiwa. Wabunge wakionyeshana umwamba Bungeni nchini Uturuki … Read More
Ole Wao Wanaowapa Ujauzito Wanafunzi-Ummy Serikali imewaagiza Maafisa maendeleo ya Jamii na maafisa ustawi wa Jamii wa wilaya,kata na mikoa nchini kuwafatilia wanaume wanaowapa ujauzio wanaume wanaowapa ujauzito watoto wa shule na kuwafikisha Mahakamani. Akizungumza… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni