Nimempata dada mmoja mitaa fulani, ni mzuri sana na she is sexy. 
Kiukweli tumependana nami nilivyomuona tu siku ya kwanza pale ofisini 
nilimpenda nikaomba tuwe na ukaribu. Tukaanza ukaribu basi juzi juzi 
hapa nikamwambia mi natamani mambo flani. Yule dada alinikubalia lakini 
akasema shida kubwa ni kuwa jamaa yake mshirikina alimwekea dawa hivyo 
tukikutana naweza pata matatizo, anasema watu wa Morogoro/waruguru ndo 
zao hizo.
Sasa hajui atafanyaje maana anasema aliwahi achana na jamaa akawa na mtu
 mwingine yule jamaa aliyetembea naye alipata matatizo makubwa sana hadi
 ikabidi yule dada arudi akamwambie Mluguru amwachie jamaa awe salama. 
Toka kipindi hicho dada amekuwa hana amani anashindwa sasa afanyeje. 
Aliniambia maneno haya kwa uchungu sana nami nikimwona kiukweli anataka 
sana nimkandamize yaani hata tukiongea hivi namwona tu jinsi macho 
yanavyochoka nami mzuka unapanda natamani nimnaniii hivyo hivyo lakini 
ananikataza anasema coz she loves me hapendi nipate shida.
Sasa hapa wadau nifanye nini? Mambo kama haya sisi wengine hatushiriki 
ushirikina matatizo yetu ni K tu lakini kwa waganga hatujawah kwenda. 
Sasa hapo nafanyaje?
Tusaidiane tafadhali maana hali inakuwa ngumu sana kwetu sote.
Jumatano, 26 Oktoba 2016
Home »
 » Jamaa Yake Amemwekea Tego, Msichana Yupo Tayari Kunipa Papucha ila Anaogopa Tutanasiana au Ntapata Tatizo







 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni