Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo....
"Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie
 wasininunie mie, wakazane....halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie 
kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si 
yangu....waambie hizi ndio kwanza rasharasha clip hata kupost sijaanza 
bado....soon naamia ndani😂😂...halaf nlisahau, wakikwambia mie mswahili
 wambie Mswahili haswaaa👌... halaf uswahili wangu najua kuutumia na 
umefanya leo niwe na kibanda south asa wao Uzungu wao Umewapa mini"
Jumatano, 26 Oktoba 2016
Home »
 » Diamond Platnumz Awatupia Madongo Walio Kuwa Wanasema Hajanunua Nyumba South Afrika...Adai Uswahili wake Unamlipa







 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni