
Eeh ndo hivyo, akina dada wengi wanajirahihisha sana wala hawaoni aibu
kuzungusha kwa vijana wa mtaani na maofisini.Zamani nasikia msichana
unaweza ukafukuzia miaka mi 2 na kuendelea nowdays ukitoka nae tu
appointment chupa ya pili ikikolea kichwani akili yote inakimbilia chini
kazi kwako tu kuangusha kwa ubua
Kingine material things, watu wengi wako kimaslahi ndo maana...