Eeh ndo hivyo, akina dada wengi wanajirahihisha sana wala hawaoni aibu
kuzungusha kwa vijana wa mtaani na maofisini.Zamani nasikia msichana
unaweza ukafukuzia miaka mi 2 na kuendelea nowdays ukitoka nae tu
appointment chupa ya pili ikikolea kichwani akili yote inakimbilia chini
kazi kwako tu kuangusha kwa ubua
Kingine material things, watu wengi wako kimaslahi ndo maana anaweza
easily aka confuse mapenzi na pesa hii ni kutokana na economic
liberalisation sijui? Utaona mdada ana mpenzi wake atakuambia i love my
guy blah blah nyingi lakini sasa kama huyo Guy hawezi kumnunulia Iphone 7
wala hawezi ku offord outing za zanzibar weekend, we muambie tu twende
Zanzibar this week lazima lovely Guy atoswe na lazima ujilie tu huko.
Mapenzi yakishakua tu biashara basi tambua kuwa soko lake litatawaliwa
na demand and supply kwa kuwa kuna wadada wengi mjini supply ni kubwa
lakini wanalazimika kushusha bei, utu tena katika mapenzi taratibu
unapotea hapa ni chapa tu ilale. Kwanini wanaume waweke ndani wakati
kinapatikana tu kirahisi? Na hata hiki kilichokua ndani kutokana na
ushindani wa soko kinaweza kikachukuliwa?
Ijumaa, 16 Juni 2017
Home »
» Mapenzi yamekua Rahisi Sana Ndo Maana Ndoa Hamna Siku Hizi
Mapenzi yamekua Rahisi Sana Ndo Maana Ndoa Hamna Siku Hizi
Related Posts:
Hii ndio idadi ya waliokufa baada ya mji wa Lamu Kenya kukumbwa na mashambulizi ya risasi. Wizara ya mambo ya ndani Kenya imesema kuwa zaidi ya watu 29 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti katika makazi ya Pwani ya nchi hiyo karibu na mpaka wa Somalia. Watu 20 waliuawa katika eneo la Gamba kaunti ya Ta… Read More
NEW AUDIO DIAMOND-KITORONDO… Read More
NEW AUDIO MO MUSIC BASI NENDA… Read More
Degree ya heshima ya udaktari aliyopewa mwanamuziki Oliver Mtukudzi. Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa mshauri na balozi mzuri wa muziki. Mwaka 2003 alitunukiwa tuzo kubwa ya heshima na c… Read More
Hiki ndicho kitu kikubwa atakachofanya Diamond siku ya birthday ya mama yake. Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu kikubwa akiwa anasherekea. Mwaka huu anafanya kitu ambacho hadi mashabiki zake watafurahia siku hiyo na hii ni nafasi yako kukijua. … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni