Star
  wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ameamua kutoa kiasi cha dola 
milioni 130, kwa ajili ya kuzuia mkanda wa ngono wenye picha 
zinazofanana na mke wake usiingie sokoni.
Kwa
 mujibu wa mtandao  wa US,  msanii huyo aliamua kafanya hivyo kwa kuwa 
ndani ya filamu hiyo kuna mrembo anafanana na mke wakewe Kim Kardashian.







0 comments:
Chapisha Maoni