January
Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika
akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada
ya kumnyima Uwaziri Mkuu.
Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli
Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli

Picha
hii inaonyesha sokwe mtu wakiwa wamevalia suti na huyo mtu
anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia
kaptula peke yake
Picha hii inaonyesha Nguruwe wakiwa wamepewa heshima ya zulia jekundu ambayo ni heshima ya kipekee anayopewa binadam pekee


Picha
hii inamuonyesha mtu akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo
chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje ( juu )
Msikilize January Makamba akiongea hapo chini
0 comments:
Chapisha Maoni