Dk Mpango ametaja namba za simu na
kuomba wananchi waripoti taarifa zinazohusu watumishi wa ofisi ya
Mamlaka na Mapato Tanzania (TRA), wanaojilimbikizia mali kinyume na
kanuni za utumishi wa umma.
Pia ameomba namba hizo zitumike kutoa taarifa kuhusu kero wanazokumbana nazo wananchi katika ofisi za TPA.
Piga simu 0689 122 515
Tuma ujumbe mfupi wa maneno (sms) 0689 122 516
Pia ametoa namba yake kuwa ni 0787 570 714 na ya Naibu wake kuwa ni 0784 228 095
Ijumaa, 11 Desemba 2015
Home »
» Namba za Simu za Kuripoti Kero TRA na taarifa za siri za Watumishi Wabadhirifu
Namba za Simu za Kuripoti Kero TRA na taarifa za siri za Watumishi Wabadhirifu
Related Posts:
Hatimaye Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Magufuli CCM tayari wameshatengeneza video ya mama Maria Nyerere akiwaomba akina mama wotewampigie kura Magufuli. Video hii iko inasambaa Whatsup. Kaongea mengi kuwa ni mchapa kazi na Mwadilifu. Swali langu kwa bibi angu mama Ma… Read More
CHADEMA Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hi Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi (kulia) akifafanua jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari ** ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka… Read More
Madai ya Kumuua Mwigizaji Kanumba LULU MICHAEL Mahakani Tena... Stori: Na Brighton Masalu MAMBO yameiva! Nyota wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ (20) yu mbioni kupanda tena Kizimba cha Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ishu yake ile ya madai y… Read More
UKAWA Watishia Kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Jumapili CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachoungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetishia kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, R… Read More
Picha 16 Za MAFURIKO Ya Lowassa Huko Tanga- Jana Oktoba 21 Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean katika mkutano wa kampeni mjini Tanga jana Jumatano 21/10/2015 … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni