Ijumaa, 5 Februari 2016

Mke wa Dr Slaa Josephine Mushumbusi Ajibu Kuhusu Tuhuma za Kuomba Mkopo Bank Kwa Kutumia Nyumba ya Slaa

Mke wa Dr Slaa Amejibishana na Wadau Katika page yake ya Facebook na kujikuta akijibu tuhuma zilizozagaa jana kwenye magazeti kuwa aliomba mkopo wa sh mil 300 kwa kutumia nyumba ya Dr Slaa... Soma Majibisha yao hapa; Bryton Myrium Chadema  "Mama ni kweli ulitumia nyumba ya dr slaa kumuombea mkopo jamaa mwingine sory kama nimekosea kuulliza" Josephine Mushumbusi "Sandra...

Njia Kumi na Moja za Kumfanya Mpenzi Wako Asitoke nje na Michepuko

1. TAMBUA THAMANI YAKE Unapokuwa Umeapa Kuwa Utampenda Mwenzako Hadi Kifo Kitakapowatenganisha, Uwe Umefanya Hivyo Kwenye Nyumba Ya Ibada Au Kwingine, Lazima Ufahamu Jinsi Ya Kutambua Juhudi Za Mpenzi Au Mwenzi Wako, Ili Kuepukana Na Uwezekano Wa Mwenzi Wako Kukuona Kama Vile Unamchukulia Kawaida Na Hujali Jitihada Zake. Mtu Anapodhani Mwenzake Hajali Jitihada Zake...

Imebainika Mashine ya CT Scan Iliyofungwa Muhimbili Hospital ni ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto imekiri kwamba mashine ya CT Scan iliyofungwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ilikuwa ni ya kituo cha kisasa cha kutolea huduma za afya cha Benjamin Mkapa kilichopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Akijibu swali la nyongeza bungeni mjini Dodoma, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee...

Bomoa Bomoa Zaikumba Sinza...Baa za Uwanjani Legho Zavunjwa

BAADHI ya baa zilizopo katika viwanja vya Legho, Ubungo jijini Dar, leo zimevunjwa kufuatia agizo la mahakama kwa kile kilichodaiwa wamiliki walivamia eneo ambalo siyo lao. Akizungumza na mwandishi wetu, dalali wa mahakama kutoka katika kampuni ya Mem Auctioneers and General Brokers Ltd, Elieza Mbwambo, alisema mmiliki halali  wa eneo hilo ni Dar Cool Makers Limited...

Siri Imefichuka..Kumbe Rwanda ilitoa Mafunzo ya Kijeshi kwa Wakimbizi wa Burundi Wamwondoe Nkurunziza Madarakani

Ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa(UN): Rwanda ilitoa mafunzo ya kijeshi kwa wakimbizi wa Burundi wamwondoe Nkurunziza madarakani. Burundi imekabiliwa na machafuko tangu mwezi Aprili 2015, wakati Rais Pierre Nkurunziza alipotangaza kwamba atawania muhula wa tatu wa urais, ambao alishinda. Akijibu madai hayo, waziri wa maswala ya kigeni nchini Rwanda Louise Mushikiwabo...

Rais Magufuli Afunguka na Kusema Yeye si Kichaa wala Dikteta ila Inafika Wakati Lazima Afanye Hivyo!!

RAIS Dk. John Magufuli amesema anapochukua hatua yeye si kichaa, si dikteta, si shetani wala si mnyama, ila ni mpole, lakini amefika mahali lazima afanye hivyo kwani ndani ya Serikali yanafanyika mambo ya ajabu. Kauli hiyo aliitoa jana jijini Dar es Salaam katika kilele cha Siku ya Sheria nchini, alipokuwa mgeni rasmi kwa mara ya kwanza katika uzinduzi wa Mwaka wa...

Alhamisi, 4 Februari 2016

Mbunge Godbless Lema Awachana CCM Laivu....Hawawezi Kukaa Madarakani Kwa Maisha yote

Mbunge wa arusha mjini Godbless lema amesema leo bungeni swala la Zanzibar si la kichama,Ni swala la nchi na lisipotafutiwa ufumbuzi lina athari kwa kila mtu, Lema ameenda mbali zaidi na kuwaambia Wabunge Wa CCM hii nchi ikiharibika hata watoto wao wataharibikiwa na hawawezi kukaa madarakani kwa maisha yao yote. Lema amemtolea mafano mbunge Marry nagu na kumwambia...