Aliyekuwa Mwendesha Mashtaka wa Serikali na Wakili nchini Afrika Kusini
Thuli Madonsela leo ametangazwa kuwa ndiye mshindi wa Tuzo ya Mtu
Mashuhuri Afrika ya Forbes (Person of the Year #POY2016).
Tuzo huyo hupewa mtu aliyetoa mchango mkubwa katika kuiinua jamii kwenye
njanja mbalimbali za maisha kama vile uchumi, siasa, utamaduni.
Katika kinyang’anyiro cha tuzo hiyo, Thuli Madonsela alikuwa akichuana
na Michiel Le Roux kutoka Afrika Kusini, Rais wa Mauritania, Ameenah
Gurib, Jamii ya watu wa Rwanda na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli.
Mwaka 2015 tuzo hii ilikwenda kwa Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya MeTL, Mohammed Dewji.
Ijumaa, 18 Novemba 2016
Home »
» Haya Hapa Matokeo ya Forbes Person of the Year Aliyokuwa Anawania Rais Magufuli
Haya Hapa Matokeo ya Forbes Person of the Year Aliyokuwa Anawania Rais Magufuli
Related Posts:
Rekodi 5 za kuvutia za Lionel Messi ambazo hazijawahi kuvunjwa na mchezaji yoyote … Lionel Messi ni staa wa soka wa kimataifa wa Argentina ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania aliyojiunga nayo mwaka 2001 na mwaka 200… Read More
After Lots of Rumors Finally Quick Racka Confirms Dating Kajala There have been lots of speculations and rumors about Kajala dating Bongo Flava singer Quick Racka. Media did write about their secret relationship although they both denied it. Even Quick Racka had tattoo of Kajala's n… Read More
Kanye West Ametumia zaidi ya Milioni 130 Kuuzuia Mkanda wa ‘Ngono’ Kusambaa, Mkanda Huo Umemuhusisha Nani? Star wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ameamua kutoa kiasi cha dola milioni 130, kwa ajili ya kuzuia mkanda wa ngono wenye picha zinazofanana na mke wake usiingie sokoni. Kwa mujibu wa mtandao w… Read More
Umeiona video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’?ninayo hapa…… Belle 9 baada ya kutambulisha rasmi single yake mpya Burger Movie Selfie katika vituo mbalimbali vya radio Dec 7 2015, sasa time hii pia ametusogezea na vid… Read More
Wakati Tanzania Tukiwa Tunashangilia Kusimamishwa Maofisa TRA, Kenya Wanafanya Hivi... Kwa wanaofatilia siasa za kenya kulikua na skendo iliyokua inamuhusu waziri wa uhuru Anne Waiguru, huyu Anne Waiguru alikua ni waziri mtu mkubwa na maarufu serikalini. Zimepotea 795 milion kshs ambazo ni kama 16 … Read More
0 comments:
Chapisha Maoni