Kijana mmoja ambaye anatumia jina la Shilolekiuno_official Huko
Instagram hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na
kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika
matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali akiwemo Mwanamuziki Diamond,
Jana Baada ya Diamond Kutangaza Kuleta Perfume mpya zenye jina lake
sokoni, mtu huyo anayetumua jina la @shilolekiuno_officail aliingia
mtandaoni na kuandika matusi makubwa ambayo siwezi kuyaweka hapa kuhusu
Perfume hiyo ya Diamond
Meneja wa Diamond Ameandika Haya:
Lemutuz Naye Ameandika Haya:
Ijumaa, 18 Novemba 2016
Home »
» Kinara wa Matusi Instagram Akamatwa na Polisi Baada ya Kutoa Matusi Makubwa Kuhusu Perfume Mpya ya Diamond
Kinara wa Matusi Instagram Akamatwa na Polisi Baada ya Kutoa Matusi Makubwa Kuhusu Perfume Mpya ya Diamond
Related Posts:
Wazanzibari Wanaoishi Uingereza Waandamana Wakitaka Maalim Seif Sharif Hamad Atangwe mshindi wa Kiti cha Urais Wazanzibari wanaoishi nchini Uingereza jana walifanya maandamano wakidai haki ya kutangazwa ushindi wa Chama Cha Wananchi (CUF) katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika Octoba 25 mwaka huu Maandamano ha… Read More
Nina Wasiwasi na Naibu Spika Kama Atalihimili Bunge Hili Sina wasiwasi ni elimu yake wala uwezo wake wa kujieleza, ila nina wasiwasi na hekima yake na busara zake kama zinaweza kustahimili mikiki mikiki ya bunge kama alivyoonyesha Anne Makinda. Nafikiri wote tunaujua uwezo wa… Read More
Wabunge: Magufuli Futa Wakuu wa Wilaya na Mikoa BAADHI ya wabunge kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoa wa Dodoma wamemshauri Rais John Magufuli kuondoa nafasi za Ukuu wa Mikoa na Wilaya na badala yake kazi hizo zifanywe na Makatibu tawala wa mikoa na … Read More
Siku 30 za Kuwa Madarakani Kama Rais , Magufuli Aokoa Sh1trilioni Rais John Magufuli leo ametimiza mwezi mmoja tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo huku akiweka rekodi ya kuokoa kiasi cha Sh997.4 bilioni (karibu Sh 1trilioni) ambazo zilikuwa zitumike kwa matumuzi yasiyo ya la… Read More
Alikiba Atolea Ufafanuzi Post ya ‘Utata’ Aliyoandika Instagram, na Ampongeza Diamond Kwa Ushindi wa AFRIMA Alikiba ametolea ufafanuzi post yake ya Instagram iliyozua mjadala kwa mashabiki mbalimbali wa muziki ambao waliipokea kwa hisia tofauti. Siku ya Jumatatu Nov.16 Muimbaji huyo wa single mpya ‘Nagharamia’ aliandika, “Asan… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni