Ni ukweli usiopingika wasanii Diamond na Alikiba ni lulu ya taifa kwa
sasa hasa unapozungumzia suala la usambazaji wa muziki wa Bongo Fleva
kwenda zaidi kimataifa na kuufanya uwe na thamani hata kwa wasanii
wengine watakapofikia level zao.
Leo nazungumzia utofauti mkubwa wa wasanii hawa wawili ambao mimi kama
#KİJANAMZALENDO nimeuona, Alikiba anaimba vizuri kuliko Diamond lakini
kupitia kigezo cha kuimba pekee hakiwezi kumfanya kuwa Msanii mzuri
kuliko wengine but kuna mambo mbalimbali ambayo msanii yeyote anapaswa
kuyafanya ili awe bora zaidi kuliko wenzake.
1 Alikiba amekuwa akiamini yeye binafsi anaweza kufika international
bila kufanya kazi na wasanii wa nje ya nchi Jambo ambalo Si la kweli ili
Msanii yeyote uweze kufanikiwa kimataifa lazima ufanye Collabo na
wasanii wa level hiyo mfano Wizkid sasa Dunia inamjua kupitia Drake,
Davido dunia inamfahamu kupitia Meek Mill,
2 kufanya media tour na Show za kimataifa; Miongoni mwa mambo ambayo
Alikiba yanamfanya awe tofauti na Diamond, Alikiba hafanyi media tour za
nje anafanya za ndani tu Ndani kila mtu anaufahamu uwezo wake so
tunataka aupeleke nje ya Tz pia aanze kufanya matamasha ya kimataifa
haiwezekani msanii unataka kwenda kimataifa halafu kwa mwaka Unaperfom
Majukwaa matatu tu.
3 Kupunguza Collabo na wasanii wa kawaida; kitu kingine ambacho Kiba
anapaswa kukizingatia ni kupunguza Collabo haşa wa wasanii wa kawaida
ambao wanataka kupata jina kupitia yeye simaanishi kwamba asikuze vipajj
lakini anaweza kuwasaidia kwa kuwasaini kwenye Lebo yake ili bado awe
na nguvu ya kuwasapoti.
4 Kuongeza Timu ya washauri: Kingine Kiba anapaswa kuongeza idadi ya
watu anaofanya nao kazi ambao ni official lakini hata kuwafanya nao wawe
mastaa ili popote wanapofanya interview nado yeye atajwe mfano
Alichofanya DİAMOND amembrand DESİGNER, DANCERS ,MAMA, MTOTO, DADA kote
huko bado jina lake linatrend
Ijumaa, 18 Novemba 2016
Home »
» Udhaifu Huu wa Ali Kiba Unamfanya Diamond Ang'are
Udhaifu Huu wa Ali Kiba Unamfanya Diamond Ang'are
Related Posts:
Diamond Platnumz Awatupia Madongo Walio Kuwa Wanasema Hajanunua Nyumba South Afrika...Adai Uswahili wake Unamlipa Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo.... "Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie wasininunie mie, wakazane....… Read More
Magazeti ya Tanzania October 26, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo Share Tweet Share Share comments October 26 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kua… Read More
Rais Magufuli Aongoza Kura Kuwania Tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’ Rais John Magufuli anaongoza kura za kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ambayo hutolewa kwa watu walioonyesha mchango kwa jamii. Huku zikiwa zimebaki siku 21 kwa mshindi wa tuzo hiyo kuta… Read More
UKOCHA: Pluijm Amwaga Mboga Yanga Usemi wa Waswahili kuwa, ukimwaga ugali, nami namwaga mboga umetimia kwa klabu ya soka ya Yanga ambayo licha ya uongozi wake jana kukanusha kuajiriwa kwa kocha Mzambia George Lwandamina na kuachana n… Read More
Kinara wa Matusi Instagram Akamatwa na Polisi Baada ya Kutoa Matusi Makubwa Kuhusu Perfume Mpya ya Diamond Kijana mmoja ambaye anatumia jina la Shilolekiuno_official Huko Instagram hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi m… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni