Nasemaje bim'danga Mama Chibu Ndo kishasema Mjengo wa Madale anaumiliki
yeye, na wale waliokua wakimsimanga kuwa awapishe Kina chibu Na Zari
kwenye Mjengo washindweeee, bi Maza anasema wataondoka wao Na wajukuu
ila yeye wa hapahapa haondoki ng'ooooooo, Hiyo imekuja baada ya
kukumbusha kauli ya Diamond kabla hajatoka ya kuwa nyumba ya kwanza
kujenga itakuwa zawadi kwa mama.....
Ijumaa, 18 Novemba 2016
Home »
» Mama Diamond Afunguka Kuhusu Nyumba ya Madale..Adai ni yake Kama ni Kuhama Ahame Diamond na Zari
Mama Diamond Afunguka Kuhusu Nyumba ya Madale..Adai ni yake Kama ni Kuhama Ahame Diamond na Zari
Related Posts:
ESCROW:Spika adaiwa kuwalinda washukiwa Spika wa bunge la Tanzania Anne Makinda Speaker wa Tanzania Anne Makinda ameshtumiwa kwa k… Read More
FIFA:Madai mapya ya ufisadi yazuka Rais wa FIFA Sepp Blatter akimkabidhi rais wa Urusi Vladmir Putin Haki za kuandaa dimba la dunia la mwaka 2018 Madai zaidi yameibuka kuhusu ufisadi uliofanyika wakati wa shughuli ya kuwatafuta waandalizi wa … Read More
Obama na vurugu za Marekani &nb… Read More
Man U na Arsenal zawika,Chelsea yazuiwa Mchezaji wa chelsea Wiilian akikabiliana na mwenzake wa Sunderland Mkufunzi Gus Poyet aliihangaisha timu ya Chelsea na kuwajaribu viongozi hao wa Ligi kupi… Read More
Man city wazidi kupanda Wachezaji wa Klabu ya Man city Kocha wa Manchester City Manuel Pellegrini amesema ushindi wa timu yake dhidi ya Southampton unadhi… Read More
0 comments:
Chapisha Maoni