 Maafisa
 wa masuala ya anga nchini Algeria wanasema wamepoteza mawasiliano na 
ndege ya shirika la ndege la Air Algerie, iliyokuwa katika anga ya 
Sahara. Shirika la habari za Algeria limesema ndege hiyo ilikuwa 
ikisafiri kwenda Algiers na kupotea 
kwenye rada takriban dakika 40 baada ya kupaa kutoka jijini Ouagadougou,
 mji mkuu wa Burkina Faso. Air Algerie imesema imeanza shughuli za 
dharura kuitafuta. Indadhaniwa kuwa na abiria 110 na wafanyakazi sita. 
Njia ya ndege hiyo ni kupitia nchini Mali ambapo kuna mzozo unaendelea 
upande wa kaskazini.

upande wa kaskazini.Alhamisi, 24 Julai 2014
Home »
 » NDEGE NYINGINE YAPOTEA HUKO ALGERIA
NDEGE NYINGINE YAPOTEA HUKO ALGERIA
 Maafisa
 wa masuala ya anga nchini Algeria wanasema wamepoteza mawasiliano na 
ndege ya shirika la ndege la Air Algerie, iliyokuwa katika anga ya 
Sahara. Shirika la habari za Algeria limesema ndege hiyo ilikuwa 
ikisafiri kwenda Algiers na kupotea 
kwenye rada takriban dakika 40 baada ya kupaa kutoka jijini Ouagadougou,
 mji mkuu wa Burkina Faso. Air Algerie imesema imeanza shughuli za 
dharura kuitafuta. Indadhaniwa kuwa na abiria 110 na wafanyakazi sita. 
Njia ya ndege hiyo ni kupitia nchini Mali ambapo kuna mzozo unaendelea 
upande wa kaskazini.
Maafisa
 wa masuala ya anga nchini Algeria wanasema wamepoteza mawasiliano na 
ndege ya shirika la ndege la Air Algerie, iliyokuwa katika anga ya 
Sahara. Shirika la habari za Algeria limesema ndege hiyo ilikuwa 
ikisafiri kwenda Algiers na kupotea 
kwenye rada takriban dakika 40 baada ya kupaa kutoka jijini Ouagadougou,
 mji mkuu wa Burkina Faso. Air Algerie imesema imeanza shughuli za 
dharura kuitafuta. Indadhaniwa kuwa na abiria 110 na wafanyakazi sita. 
Njia ya ndege hiyo ni kupitia nchini Mali ambapo kuna mzozo unaendelea 
upande wa kaskazini.

0 comments:
Chapisha Maoni