Muda
mfupi baada ya kujiunga na Real Madrid kwa ada ya uhamisho wa paundi
millioni 63, mchezaji wa Colombia James Rodriguez ameweka rekodi katika
mauzo ya jezi yake ya Real Madrid. Ripoti za Hispania zinasema Jezi zipatazo 900 za James Rodriguez
ziliuzwa ndani ya ndani ya saa moja tangu zilipoingia rasmi sokoni
ambapo zimeuzwa kwenye duka la Real Madrid na imeonyesha kiasi gani raia
huyu wa Colombia anavyokubalika.Rodriguez
ametua Madrid akitokea AS Monaco huku akiwa ndiye mfungaji bora wa
Kombe la Dunia nchini Brazil 2014 baada ya kutokana na magoli 6
aliyofunga.
Taarifa kuhusu kifo cha msanii wa bongofleva Side Boy Mnyamwezi.
Ingawa
Nafasi yake katika muziki wa Bongo Fleva ilikuwa ikipanda taratibu
kulingana na aina ya muziki aliokuwa akiumba,single iliyomtambulisha
zaidi kwenye muziki wa Bongo Fleva inaitwa Kua uone ambayo
alimshirikisha A…Read More
NI KIVUMBI LIGI YA MABINGWA ULAYA
Katika
michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya leo kuna kivumbi kingine ambapo
CSKA Moscow itakuwa na kibarua kigumu pale watakapowakaribisha Bayern
Munich.
Wakati huo huo Man City waliopigwa bao moja na Bayer…Read More
Van Gaal:tuna mlinzi wa kati mmoja tu
Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal.
Kocha wa machester United, Louis van
Gaal amesema Manchester united ina mlinzi wa kati mmoja tu mwenye
uzoefu wakati huu kikosi hicho kinapotarajia kukipiga na west ham kat…Read More
'VIPIMO VYA SKETI KIGEZO CHA SARATANI'
Baadhi ya watafiti wana sahuku ikiwa vipimo vya sketi vitamtahadharisha mwanamke kuhusu tisho la Saratani.
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wanaonenepa maishani bila ya kuwa waangalifu wanajiweka katika hatari ya kupa…Read More
Waaga mchuano baada ya kuagizwa kuvua hijab Timu ya wanawake ya Qatar ya mchezo wa mpira wa kikapu imejiondoa kutoka mashindo ya bara Asia.
Timu ya wanawake ya Qatar ya mchezo
wa mpira wa vikapu imejiondoa kutoka mashindo ya bara Asia
yanayofanyika huko Korea Kus…Read More
0 comments:
Chapisha Maoni