WAKATI sherehe ya kutimiza 40 kwa mtoto wa Diamond na Zari, Nillan
ikiendelea, staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper Massawe amekerwa na
wanaomsema vibaya Zari na kuamhua kuwafungukia hadharani akitoa povu
lake mbele ya wageni waalikwa.
Jumapili, 12 Februari 2017
Home »
» 40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni
40 ya Nillan: Wolper Achafua Hali ya Hewa, Atoa Povu Hadharani Mbele ya Wageni
Related Posts:
Alichokisema diamond baada ya kukosa tuzo
Hii ndio kauli ya diamond baada ya davido kutwaa tuzo ya BET.Amewashuku watanzania na mashabiki wake duniani kote kwa kumsapoti hadi kufika pale alipofikia ingawa hakubahatika kupata tuzo yoyote ya kimataifa kwa mwaka… Read More
UMEICHEKI VIDEO YA KALA JEREMIAH ALIYOMSHIRIKISHA MO MUSIC IKO HAPA
Inawezekana ikawa ndiyo wimbo wa kwanza kushirikishwa na msanii kubwa baada ya kuchomoza na single yake ya Basi Nenda huyu ni Mo Music ambapo Tanzania imemtambua kwa singo yake ya Basi Nenda ambayo kupitia Clouds Fm T… Read More
UMEISIKIA HII INAYOUSU MKATABA WA YOUNG KILLER NA MENEJA WAKE MONA GANGSTAR
Mkataba wa Young killer pamoja na meneja wake ambaye vilevile ni produce wake Mona Gangstar,inawezekana huko
mwishoni ingawa unaisha december mwezi huu ingawa taarifa hazina huakika.
… Read More
Mshindi wa tuzo ya BET iliyokuwa inawaniwa na Diamond Platnumz pia.
Hii ilikua siku nyingine muhimu kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ambapo yalikua yanasubiriwa matokeo ya tuzo ya BET sanasana kipengele wanachowania tuzo wasanii wa Afrika akiwemo Diamond Platnumz.Davido kutoka Nigeria ndio… Read More
Maneno zaidi ya 60 aliyoyatoa Diamond baada ya mshindi wa BET 2014 kutangazwa
Dakika kadhaa baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa watu wake.‘Tusipopenda… Read More







0 comments:
Chapisha Maoni