Angalia hata picha wanazopiga wanawake utaona jinsi wanavyojibinua ili wanaonekane wana makalio makubwa.
Hata wakati wa kutembea pia wengine hutembea tofauti ili kuhakikisha 
kuwa makalio yake yanatikisika na ndio maana hata wengine hudiriki hata 
kutumia dawa za mchina ili kukuza makalio yao na hata baadhi yao wakati 
mwingine hujigamba kuwa eti wanamshukuru Mungu kwa kuwapa hips kubwa na 
wakati mwingine husikika wakisema eti mwanamke inye. 
Hivi nyie wanawake hususani wasichana ni kwanini mnapenda sana kujivunia
 na kuringia makalio yenu? Ina maana katika miili yenu kitu mnachokiona 
ni cha thamani ni makalio pekee? Badilikeni bwana maana kujivunia 
makalio badala ya akili ni ujinga wa kiwango cha lami







 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni